Sawa, ila uko kwenye high tempa yaonyesha mtu wako pia hakupigiagi eeh[emoji23]pole ila ukweli ni kwamba mwanaume akipenda lazma akujali pia, ukiona hakujali usijidanganye ati ndivyo alivyo, jua kuna sehem anawasiliana vizuri tu.wewe nae usilazimishee hiyo wanaume wote wapi sema wanaume jobless ndo wana mapenzi ya hivo
kwanza mwanamke gentleman anaejiamini huwezi mkutaa anateseka na kuchat chat ama kuongea na mwanamke
Mimi kama mwanamke simpendii mwanaume asiejiamini kila saa kupiga simu sijui sms
unatakiwa ukipigiwa wakati mwinginee usipokee makusudii sio upo available kila wakatiii
upuuzi tu
Kumjulia hali mtu wako eti uko job less, unashangaz sana, mawasiliano hayan cha jobless wala nani, kuwasiliana kupo tu, hata mara 2 kwa siku, mnatumia walau dakika moja.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app