Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

kibaya zaidi hamuwaoagi hao mnaojifanya mnawapenda
Yule unaemdharaudharau ndo unakuja kumuoa[emoji3]

Napendaga vile unajifanya unapenda huku na hupendwiiii
Nakazia[emoji4][emoji106]
 
Kuna haja ya kukaa chini na kuongea kwa uwazi...

Kuna watu wanafanya kazi kwenye mitambo mfano ambayo inawafanya wasiruhusiwe kuwa na simu sehemu kubwa ya muda wao wa mchana hivyo kwa maelezo yako mafupi ni ngumu kukushauri vema...


Fahamu nature ya kazi yake, muda ambao anakuwa huru kuongea na mfano wa hayo vinginevyo huwezi kusema kwa uhakika ni kweli ubusy wa kazi au uongo...

Kuna kazi watu hawaruhusiwi kutumia simu kuziacha sehemu maalum mpaka wakitoka kazini....
 

Mjini msingi kiuno au sio...
 
Yani nakushauri kama mwanamke mwenzako, hapo hamna wahusiano hiyo ni one side love. Hakuna mtu yuko bize kwa anaempenda. Yuko bize kwako lakn ana muda kwa wengine. Kwan wewe oficn kwake hujawahi enda kwamba ukajionee mazingira kama kweli yanamkeep bize? Ila all in all hauko pekeako
 
Yani nakushauri kama mwanamke mwenzako, hapo hamna wahusiano hiyo ni one side love.

Umeongea kwa hisia sana ndugu,, unaonekana umemuonea huruma sana Binti
 
Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.
Binti kuanzisha mahusiano sio rahisi hvo,, huko ndio utakuja ukutane na wanaokula kimasihara.

Ukitaka ujue nini shida yake,,jipe hata siku mbili usimpigie then usome mchezo,, ukiona amepiga kimya basi beba kilicho chako na upotee,,hapo sio sehemu sahihi...

Kwa upande wa ndugu yetu,,Mwanaume mwenzetu,, Popote pale alipo nimpe pongezi kwasababu hadi sasa bado ameshika usukani...sometimes (mara nyingi sana) kinadada mkioneshwa hayo unayotaka wewe kuonyeshwa huwa Penzi halidumu,,na baadae utaanza kumuona jamaa miyeyusho,... DeepPond ameeleza ukweli sana na waliombishia ndio wengi utawakuta wana nyuzi za kulialia humu...

Jipe muda,, endelea kumpenda mshikaji,, na mkienda hvo hlo penzi halitachuja tofauti na yeye angekuwa anakupigia simu hvo kila wakati...
 
Huenda hana mpango na wewe cha kufanya endelea na mambo yako kama anakupenda atakutafuta na siyo mambo ya kumtafuta wewe kila siku, kila lakheri.
 
Polee sanaa uyo atakuwa mnyanturu[emoji1787][emoji1787] [emoji1787]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Natumiaga excuse ya ubusy pia ninapokua siko interested na mtu.
Hivi kweli masaa 24 yote unakua busy, unafanya research za kutibu cancer au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu binti anapotezewa muda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mapenzi bhana[emoji16]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…