Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’

Mjomba anajimaliza sanaaa

Mjomba Hana composure
 
Inaonesha demu hakukuelewa toka mwanzo ukasema hata urafiki tu hlf ukajipinda kuhudumia.😀

Kuna mademu kibao huku nje Mzee! Na usiwe unabadili lengo hata ajishaue vipi,mission iwe ileile!
 
Mkuu sijaelewa, upande huu wa emoji emoji ni wako au wa shangazi
 
Ni hatari sana vijana wadogo wameshaungwa kwenye gridi ya taifa
Ndiyo ipo hivyo, kabla hujaanza mahusiano mapya na hawa underages vyema kufanya vipimo kwa miezi 9 bila kuingiliana

Ukikutana na anayetumia dawa vizuri, hatoweza kuonekana +ve mkitumia vipimo vya kawaida, hadi mfanye kipimo cha cd4
 
Aisee nk hatari sana mkuu ila hapo kwa kusubiri miezi tisa bila kufanya ni uongo kumbuka hapo mwanaume unahudumia
 
Aisee nk hatari sana mkuu ila hapo kwa kusubiri miezi tisa bila kufanya ni uongo kumbuka hapo mwanaume unahudumia
Mbona miaka yetu ya 47 tuliweza

Kwanza mchumba mwenyewe unamtongoza miaka 3 ndiyo anakukubalia

Baada ya posa na mahari ndiyo unaenda kumjua(unakwenda kulala naye)

Ukienda siku hiyo unakuta kitu sealed kabisa yaani 😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…