😹😹😹😹 Jamaa kiandeMmefanana mpaka uandishi
hile,uciku,mmh sw,Pwr
Huyo mnaendana kabisa usimuache,inawezekana mkatofautiana kwenye umri tu ili mna fanana sana,
Hivi kuwekwa friend zone maana yake nini?
Kwani unaaga ukirudi🤣Mkuu kuanzia leo naomba unipatie hiyo badge yako ya u platinum maana hauitendei haki kabisa😎
Yaani demu wa elf 2 anakupiga chenga kabisa? Utakuwa ni domo zege la kutupwa kabisa mkuu
🤣🤣afu mbn hio mistari anayoitupa kwa binti imekauka au sioni vizuriSikuonei huruma wala nini, akukamue hela zote, na siku akikupa kipochi manyoya akuchanganye mpaka uanze kukopa halafu mama Abel akukamate.
Ndiyo ninachokuombea Enzo 😅
Unaita wahuni wenzioMelancholic mzee wa vibebi candy njoo utoe ushauri 🤗
😁😁😄😄Sikuonei huruma wala nini, akukamue hela zote, na siku akikupa kipochi manyoya akuchanganye mpaka uanze kukopa halafu mama Abel akukamate.
Ndiyo ninachokuombea Enzo 😅
Ngoja nimchekiKweli mapenzi hayanaga muongozo. Kama Smart911 asemavyo.
Hadi wakongwe wanapigwa.
Vincenzo Jr mcheki mzabzab akufundishe namna ya kudeal na watoto wa 2000.
😁Sasa uhuni wangu ni upi tena SeranUnaita wahuni wenzio
View attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
Umepiga mule mule ni mburundi kakaMwandiko wa mchuchu wako ni kama wa housegirl, tena anatokea Kigoma...
Yaani hapo alivyoandika "hile" nikajua huyo wa Kibondo huko Burundi upande wa pili...
Hebu msaidie kidogo umpe mbinu 😂🤣🤣afu mbn hio mistari anayoitupa kwa binti imekauka au sioni vizuri
😃😄😁😁Hebu msaidie kidogo umpe mbinu 😂
Huyo ndo anafaa kutupa sisi gen z mbinu moto moto🤣Hebu msaidie kidogo umpe mbinu 😂
Anko wenu nimejinganyaHuyo ndo anafaa kutupa sisi gen z mbinu moto moto🤣
🤣🤣ila tutakupa tu moyo ufukizie hamna namnaAnko wenu nimejinganya
Coments nyingi zimelyke isipokuwa moja tuView attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
Umepiga mule mule ni mburundi kaka
Kumwaga nini babu ugali ama mboga?Kwani bado hujaoa hadi leo Mkuu, Kwanini uhangaike na watoto wa mwaka 2000 wasiojielewa?
Juzi ripoti ya Maambukizi ya HIV/Ukimwi ilionesha, waathirika wengi wa HIV kwasasa ni vijana wenye umri kati ya miaka 14 hadi 25
Chukua tahadhari, Kuna maisha baada ya kumwaga 🤪
Kuweni na huruma na maswali mazito kwa Wazee 🤭Kumwaga nini babu ugali ama mboga?