Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 387
- 1,094
mdau mbona unakua simp, tena kwa kitoto cha 2000...wenzako wanabutua for free( eti nakalipia kodi), acha uboya
View attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
Hakika mkuu,bila kumpapasa chuchu ni ngumu kukukumbuka aiseeInaonekana first touch ilikuwa mbovu kimtindo.
Huyo hata first touch haja pata😂Inaonekana first touch ilikuwa mbovu kimtindo.
Na mimi nampenda my wangu Khantwe ila yeye anapenda hela tu
SureKama anakupa penzi na anachukua na hela sio tatizo mkuu. Pesa na Penzi ni "compliment product" kama majani ya chai na sukari. 😊
😂😂😂 Aiseee nimecheka!Pengine yeye anapenda namna unavyompenda tu.
Naunga mkono hoja my wake naye ana my wake aseeMwanamke akikupenda hakuzungushi wala hakuweki kwenye friend zote, hili suala sijui tuwaambie mara ngapi.
Natafuta ajira amewafundisha weee! Kweli mapenzi hayashauriwi 😂💔
Bwashe mapenzi hayashauriwi 😅😅😅Naunga mkono hoja my wake naye ana my wake asee