Mwanamke akikupenda hakuzungushi wala hakuweki kwenye friend zote, hili suala sijui tuwaambie mara ngapi.
Natafuta ajira amewafundisha weee! Kweli mapenzi hayashauriwi 😂💔
Unataka kumsaliti mama Abel 😳View attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
Mkuu hapo bado hujakutana na nyuzi za nzalendo ndio utashika kichwa kabisa kwa hawa wazee.Daah,mapenzi ufala.
Aisee nilikuwa nakuonaga mbaba🙌
Kumbe kwanza unawekeza nguvu Kwa vitoto vya 2000🙌
Mapenzi yafutwe.
Hawaelewi yaniMwanamke akikupenda hakuzungushi wala hakuweki kwenye friend zote, hili suala sijui tuwaambie mara ngapi.
Natafuta ajira amewafundisha weee! Kweli mapenzi hayashauriwi 😂💔
Mimi mapenzi ndio yalishanishinda kabisa , unakuta nina my wangu kumtafuta mpaka niwe na upwiru tena , ni malalamiko na lawama kila mda acha nijikite na my wangu pombe tuBwashe mapenzi hayashauriwi 😅😅😅
Ningeshangaa sana kama usingekuja kwenye huu uzi,Unataka kumsaliti mama Abel 😳
Wapambane na hali yao 😅Hawaelewi yani
Bia zingechotwa tu baharini wala nisingependa helaWewe hupendi hela?
Hii kanuni ni 💯 Wanaume wa kiafrica bado wana zile za kuhisi wanawake wana haya.Hii kanuni alinifundisha jamaa yangu wa kuitwa Pistorius, shombe wa kidachi. Alinambia kamwe usilazimishe mwanamke kukupenda, usipoteze muda. 😊
Yupo kwao kenya huko anakula maisha hiyo nyumba ndogo😎Unataka kumsaliti mama Abel 😳
mapenzi shidaaaaaaaa..Daah,mapenzi ufala.
Aisee nilikuwa nakuonaga mbaba🙌
Kumbe kwanza unawekeza nguvu Kwa vitoto vya 2000🙌
Mapenzi yafutwe.
Kwa hiyo wewe hela ya biya tu 😁Bia zingechotwa tu baharini wala nisingependa hela
Mimi mapenzi ndio yalishanishinda kabisa , unakuta nina my wangu kumtafuta mpaka niwe na upwiru tena , ni malalamiko na lawama kila mda acha nijikite na my wangu pombe tu
Ningeshangaa sana kama usingekuja kwenye huu uzi,
Ningemshari ila furaha yangu ni kuona wanaume wote wa aina yake wanateseka 😎!Hivi ndio vitu vyako Binti wa zamani
Wanaume waliooa ndio wanaongoza kutongoza ovyoovyoKwani bado hujaoa hadi leo Mkuu, Kwanini uhangaike na watoto wa mwaka 2000 wasiojielewa?
Juzi ripoti ya Maambukizi ya HIV/Ukimwi ilionesha, waathirika wengi wa HIV kwasasa ni vijana wenye umri kati ya miaka 14 hadi 25
Chukua tahadhari, Kuna maisha baada ya kumwaga 🤪
hichi kitoto kinaniyumbishaUlifanya uamuzi sahihi mkuu. Unakua hujapendwa kwa ufupi, kila mwanamke ana yule jamaa ambae hamsumbui, anataka awepo around kwenye life yake. Jitahidi mwanaume huyo uwe wewe. Kinyume na hapo hakuna rangi utaacha kuona.
Dah! 🥲😭😭😭😭View attachment 3671114
Ningemshari ila furaha yangu ni kuona wanaume wote wa aina yake wanateseka 😎!
Ndio myKwa hiyo wewe hela ya biya tu 😁