BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
inauma sana 😂😂😂😂Labda At**be kwa meseji coz mpaka sasa hajapewa.
inauma sana 😂😂😂😂Labda At**be kwa meseji coz mpaka sasa hajapewa.
Nimekitia bloku sasa tuone nani atamlipia wifi na kodi mamamaeeeeeHicho kitoto cha elfu 2 ukikiendekeza,basi muda si mrefu ID itawekwa RIP
ANayumbaNipe namba yake nimkanye! Kwanini anakuzungusha kwani hajui wewe ni husband material.
Halina shidaHalikusumbui?
Usimtumie tena helaANayumba
Hiyo ipo hivyo binti mzuri maana mwanamke anaweza kupenda namna mwanaume anavyompenda tu na sio vinginevyo.😄😁😂😂😂 Aiseee nimecheka!
Wa hivi mko wachache na sasa hivi hawaumbi kama ninyi tenaNi tamaa na kukosa kuridhika tu
Sisi wengine hatuna hayo mambo, tuliamua kusema kama hatukuweza kushiba mwaka 47, sio rahisi kushiba sasa
Kila mwenza, amlinde mwenzake
nimeishia kwenye "hile"
anyway, inaonekana wewe kuna kipindi ulimwambia muwe marafiki tu, na yeye ni nani sasa... akaamua ku move on
Halina shida
Wakati mwingine huwa ni ulimbukeni tuWa hivi mko wachache na sasa hivi hawaumbi kama ninyi tena
Hapo na wewe akili itune kama age za watoto wa 2000. Penda kwenda beach,mziki,cinema na kuangalia movie za ache production.
Ndege wafananao ndio huruka pamoja
Mwanamke akikupenda hakuzungushi wala hakuweki kwenye friend zote, hili suala sijui tuwaambie mara ngapi.
Natafuta ajira amewafundisha weee! Kweli mapenzi hayashauriwi 😂💔
SAii simpei tena hela zanguUsimtumie tena hela
UnoKuna vitu gani unaona dododogo anavyo, huvipati kwa huyo shangazi?
ok.🐒View attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
Una mchango mdogo kwa taifa piga chini huyo huruma si malezimdau mbona unakua simp, tena kwa kitoto cha 2000...wenzako wanabutua for free( eti nakalipia kodi), acha uboya