Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

Vipi wewe umemzidi Makonda kalio?
Chukua guyo dada

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ninao tatizo hawaba real love ni hela hela tu mwanzo mwisho afu wengine wana sura ngumu
Sasa mkuu wee unataka real love au unataka demu mwenye shape ufaidi.

Bwana demu akiwa hana shape atadaije mihela bwana wewe.

Mwanamke mzuri ana haki ya kudai mihela. Ni sawa na wewe uwe na phd alafu bwege mwengine ana kidegree hamuwezi kulipwa sawa.
 
mke wa kuoa na yule wa kustarehe ni vi2 tofauti kabisa,
mke wa kuoa lazima upate Amani ya roho na utulivu wa akili, sio mwili wala macho.
 
Huezi pata mwanamke mwenye kila kitu bhana.. Kama umeridhika naye, weka kunyumba!
 
Daaaah. humu duniani kuna vioja sana.
Ila naamini metamorphosis ya ukuaji lazima binadamu wote waipitie ili wapate kuwa watu kamili zaidi wenye akili timamu na hekima ya maisha zaidi.
 
Mmh naandika nafuta kwakwel nimeshindwa hata kukujibu maana yako n mazito
 
[emoji23] [emoji1787] [emoji23] [emoji1787]
Hivi ni kweli tupo uchumi wa kati?
 
Ukimpenda mtu mpende jinsi alivyoumbwa cha kwanza kumbadilisha mtu alivyoumbwa maana hujampenda sasa tafuta mwenye umbile zuri na shape nzuri
Je angekuwa kilema ungelazimisha asiwe kileMa
Tuwapende watu na kuwakubali walivyo
 
Huyo modooo humpendii sena tu hapendi helaa anakupaa puss bure buree... Makalioo yanapendaa helaa jamaniiii yanii sijawahii kuwa na mwanamke mwenye shape asiyependa helaaa...
 
Huyo mke ni wako au wa JF? , km ni wa kwako basi maamuzi yapo mikononi mwako,lkn km ni wa JF hapo upo sahihi kuomba ushauri hapa.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Katafute usiyempenda ila ana tako uone itakuwaje...
 
Kumcheat namcheat ila KUMTENDA SIWEZO...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]..
[emoji28] [emoji28] [emoji28] hajakua vema! Hafikirii mke bora na mama bora kwa watoto wake anachofikiria ni hiyo kasoro moja tu aisee!!!!
 
Kasoro yake ni tako sijui kasoro yako wewe ni nn!!??? Ushawahi kuwaza siku na yy akikutajia kasoro yako? Utajutraaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…