Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Ebwana eeeenh..Nimepiga SALUTE kwa Ben yaani kakoroma kidogo tu Madame B chaliiii.Mkuu watu8 kazi unayo.
 

Maumivu ya kichwa huanza poole pole...
 
eeh..eh...yaani hadi Zion Daughter anaenda kwa sangoma......mungu wangu,Aunt Kongosho hebu njoo umtetee mwanao,hivi mama yake mwaJ anajua haya???
majany usitake kumsingizia binti yangu mambo ya usangoma. Zion Daughter ni binti mcha Mungu yeye anamtegemea mwenyezi Mungu tu na ndio maana hata wewe pamoja na usharobaro wako umemshindwa kumng'oa. Kama unataka mbinu za kumng'oa inabidi uongee vizuri na sisi wazee sio kupiga kelele mitaani.

Kwakuwa leo tunazungumzia mambo ya rafiki na dada yangu mpendwa kupata Madame B "kiburudisho" cha moyo wake, hayo mengine tutayazungumza panapostahili.
 
Last edited by a moderator:
Thats my daddy..I am always proud of you and i mean it.Love you daddy....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…