Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
napenda watu wanaojitambua kama wewe.
Hata mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napenda watu wanaojitambua kama wewe.
Ha ha ha ha ha!CHAI CHUNGU my dear.
Mbona unamkandia sana mwenzako?
Nini tatizo?
Kunipenda mie au?
Yeye amezipenda Comment hzo hzo unazoponda.
Haya bhana,
ila tambua kuwa Hata ukimponda kwa kiasi gani, mie Madame B sitabadili uamuzi wangu.
Yaliyopita yatabaki stori isiyojirudia.
Naomba msikilize Mwasiti-Mapito.
Mambo si hayo! Ndio ninachokupendea boss wangu! Ukweli ukweli, uwazi uwazi. Kila la kheri!
Ha ha ha ha ha!mkuu mambo yakikolea usije ukaanza tena kumpa Madame B masharti kama huyu CHAI CHUNGU ukamuacha best yangu na mabango juu!!!!!!!!!!!!!!
mbona mimi Evelyn Salt simpi masharti kibao ,yeye muda wote yupo jf...
Ha ha ha ha ha!
Hili jukwaa ni janga la kitaifa kwa 'UPANDE WANGU!
Ha ha ha ha ha!
Mkuu kua makini maana mwisho wa siku unaweza fulishwa nepi lol
Anajitambua au ni dalili za kua mume b.w.e.g.e. soon!napenda watu wanaojitambua kama wewe.
Naisubiri kwa hamu siku ya kula pilau na kukatika!!!!!!!!!
Ngoja nifanye upeleleze ili nijue huyo mganga wake yuko wapi ili nikampandie dau!hata akifulishwa ujue ni mapenzi tu.
Anajitambua au ni dalili za kua mume b.w.e.g.e. soon!
Anajitambua au ni dalili za kua mume b.w.e.g.e. soon!
Ngoja nifanye upeleleze ili nijue huyo mganga wake yuko wapi ili nikampandie dau!
Alafu nikirudi utaanzisha uzi wa kunipigia magoti mwenyewe bila shuruti!
kiplagati26 naomba tusizoeane...... Eti 'Nampenda awe mke wangu,eti Hisia za mapenzi'.jiangalie sana!
Kama unapenda ufaidi matunda ya kazi na mafunzo yote hayo basi achana na Madame B kabisa na ondoa hilo wazo kichwani.FUTA KABISA HILO WAZO
Ameolewa,unadhani hiyo B kwenye jina lake inasimama badala ya nini unadhani 'Beatrice au Brenda'?
Get lost!
Ngoja nifanye upeleleze ili nijue huyo mganga wake yuko wapi ili nikampandie dau!
Alafu nikirudi utaanzisha uzi wa kunipigia magoti mwenyewe bila shuruti!
hahahahahahh! dunia ina watu wewe kiboko kisa kakuponyoka basi na wenzio wasimdake kweli jamaniiiiii.
mkuu kama upo serious kachunguze na PM kabisa!!!!!!!!!
Kesho naenda 'KILWA'kurekebisha nyota!Kwako wewe, Ndo basi tena.
Kwani hujapata mwingine?
We vp?
Kwani utotoni hukufungwa nepi?
Kesho naenda 'KILWA'kurekebisha nyota!