Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

CHAI CHUNGU my dear.
Mbona unamkandia sana mwenzako?
Nini tatizo?
Kunipenda mie au?
Yeye amezipenda Comment hzo hzo unazoponda.
Haya bhana,
ila tambua kuwa Hata ukimponda kwa kiasi gani, mie Madame B sitabadili uamuzi wangu.
Yaliyopita yatabaki stori isiyojirudia.

Naomba msikilize Mwasiti-Mapito.
Ha ha ha ha ha!
Hili jukwaa ni janga la kitaifa kwa 'UPANDE WANGU!
 
Last edited by a moderator:
Mambo si hayo! Ndio ninachokupendea boss wangu! Ukweli ukweli, uwazi uwazi. Kila la kheri!

Yapi ni kweli CEO mpya.
Ukweli ukiwa mkubwa,uwongo hujitenga.
Hahaha!
Nisalimieni kwenye Kundi letu,hasa katibu wangu.
 
Ngoja nifanye upeleleze ili nijue huyo mganga wake yuko wapi ili nikampandie dau!
Alafu nikirudi utaanzisha uzi wa kunipigia magoti mwenyewe bila shuruti!

Kwako wewe, Ndo basi tena.
Kwani hujapata mwingine?
We vp?
Kwani utotoni hukufungwa nepi?
 
kiplagati26 naomba tusizoeane...... Eti 'Nampenda awe mke wangu,eti Hisia za mapenzi'.jiangalie sana!

Kama unapenda ufaidi matunda ya kazi na mafunzo yote hayo basi achana na Madame B kabisa na ondoa hilo wazo kichwani.FUTA KABISA HILO WAZO

Ameolewa,unadhani hiyo B kwenye jina lake inasimama badala ya nini unadhani 'Beatrice au Brenda'?

Get lost!

mkuu kama upo serious kachunguze na PM kabisa!!!!!!!!!
 
Ngoja nifanye upeleleze ili nijue huyo mganga wake yuko wapi ili nikampandie dau!
Alafu nikirudi utaanzisha uzi wa kunipigia magoti mwenyewe bila shuruti!

kuachwa kuachwaaa, uachwa ni msibaa mzitoooooooooooooooooo hata Joseee MARA aliiimbaa jamaniiiiiiiiiiiiiiii
 
hahahahahahh! dunia ina watu wewe kiboko kisa kakuponyoka basi na wenzio wasimdake kweli jamaniiiiii.

Ndo hapo ninapomshangaa.
Alijua nitaumbuka hapa mjini!
Ah wapi!
Bado nalipa,unywele to ukucha.
Alie tu.
 
Back
Top Bottom