Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdogo wangu bado u mzuri kabisa na ulikopita bado ni ndani ya umri wako, na kwasasa umesha kuwa hivyo acha utoto utu uzima msalaba.Ndo hapo ninapomshangaa.
Alijua nitaumbuka hapa mjini!
Ah wapi!
Bado nalipa,unywele to ukucha.
Alie tu.
kuachwa kuachwaaa, uachwa ni msibaa mzitoooooooooooooooooo hata Joseee MARA aliiimbaa jamaniiiiiiiiiiiiiiii
napenda watu wanaojitambua kama wewe.
Hata mimi.
Hivi ile ramani ya nyumba uliyoniletea ili nikipata pesa nikujengee nyumba yako bado unayo?Hata ungeenda Bagamoyo ndo naondoka hvo.
Wenzako wamenipendea comments hzo hzo.
Hata ungeenda Bagamoyo ndo naondoka hvo.
Wenzako wamenipendea comments hzo hzo.
Ha ha ha ha ha!
Mkuu kua makini maana mwisho wa siku unaweza fulishwa nepi lol
uumbuke na uumbaji huo? wa kuumbuka kina sie tumechokeana kama mchuzi wa mbilimbi!Ndo hapo ninapomshangaa.
Alijua nitaumbuka hapa mjini!
Ah wapi!
Bado nalipa,unywele to ukucha.
Alie tu.
mdogo wangu bado u mzuri kabisa na ulikopita bado ni ndani ya umri wako, na kwasasa umesha kuwa hivyo acha utoto utu uzima msalaba.
hivi ulishindwa kuona mchana jua linaangaza utaweza kuona usiku mbalamwez ikiangaza??Hivi ile ramani ya nyumba uliyoniletea ili nikipata pesa nikujengee nyumba yako bado unayo?
Nimeshapata pesa na hivi ninavyoandika hapa tayari kiwanja nimelipia tangu jana kule kawe beach,jirani yako kusini/mashariki atakua HALIMA MDEE na kaskazini magharibi atakua mh A.Makinda!
Sema basi kama hujapapenda nikutafutie kwingine.
aksanteni!!!!!!!!!
Sasa mkuu ningefanya nini wakati FREEMASONS wanahusika juu ya hili?mkuu CHAI CHUNGU acha wivu usiokuwa na maana ,,,,,,, halafu upunguze kulalamikalalamika , sababisha mambo yatokee kama mwanaume!!!!!!!!!!
mimi ninatafuta police wa barabarani huna class mate?Hivi ile ramani ya nyumba uliyoniletea ili nikipata pesa nikujengee nyumba yako bado unayo?
Nimeshapata pesa na hivi ninavyoandika hapa tayari kiwanja nimelipia tangu jana kule kawe beach,jirani yako kusini/mashariki atakua HALIMA MDEE na kaskazini magharibi atakua mh A.Makinda!
Sema basi kama hujapapenda nikutafutie kwingine.
Hivi ile ramani ya nyumba uliyoniletea ili nikipata pesa nikujengee nyumba yako bado unayo?
Nimeshapata pesa na hivi ninavyoandika hapa tayari kiwanja nimelipia tangu jana kule kawe beach,jirani yako kusini/mashariki atakua HALIMA MDEE na kaskazini magharibi atakua mh A.Makinda!
Sema basi kama hujapapenda nikutafutie kwingine.
hivi kweli CHAI CHUNGU kashindwa kabisa kabisa .........................ama kweli kisichoriziki hakiliki
Muelezee.
Hahaha!
Ganda la Muwa la jana...Chungu kaona kivuno.
Na pia Maji ya dafu,bahari kwa siafu.
mkuu CHAI CHUNGU acha wivu usiokuwa na maana ,,,,,,, halafu upunguze kulalamikalalamika , sababisha mambo yatokee kama mwanaume!!!!!!!!!!
Ha ha ha ha!nakuja ki digital bhana!hivi ulishindwa kuona mchana jua linaangaza utaweza kuona usiku mbalamwez ikiangaza??
Sasa mkuu ningefanya nini wakati FREEMASONS wanahusika juu ya hili?
uumbuke na uumbaji huo? wa kuumbuka kina sie tumechokeana kama mchuzi wa mbilimbi!
madam b nipe hapo back benche nioshee mtaani nitoke jamani