CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
mimi ninatafuta police wa barabarani huna class mate?
Hahahahahaha!
Na wewe una vimelea vya kuwapenda wajeda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ninatafuta police wa barabarani huna class mate?
Hata ungeenda Bagamoyo ndo naondoka hvo.
Wenzako wamenipendea comments hzo hzo.
hivi ulishindwa kuona mchana jua linaangaza utaweza kuona usiku mbalamwez ikiangaza??
Ha ha ha ha!nakuja ki digital bhana!
Wakushindwa ntakua mie bhana?
kisicho riziki babuuu hakiliki
na thamani ya rupia kila siku inapanda.
Ha ha ha ha!nakuja ki digital bhana!
Wakushindwa ntakua mie bhana?
Hapa leo kuna mtu atapata vidonda vya tumbo!
chai chungu...............nani huyo tena?
hizo comment hata mimi mwenyewe asakuta same unajua huwa zinanikosha Madame B ,,,,,,,, mtu asitake kukubania bania furaha zako na kukutoa kwenye tabia yako ya ucheshi
Hivi yule mdogo wako cheupe kama mpemba,shepu kama 'dondola'si yupo au?aaaah! wapppyyyyyyyyyyy
mtu mwenyewe una mbwelambwela kama umekutana na manyigu mlangoni..............ndo useme hushindwi.
weraaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu tunataka kula pilau la harusi sasa tunachopoteza muda kitu gani??Hapa leo kuna mtu atapata vidonda vya tumbo!
Hahahahahaha!weee rudi kwa NTIBA BANA HUYU NDO SAIZI YAKO
Hivi yule mdogo wako cheupe kama mpemba,shepu kama 'dondola'si yupo au?
Hapa leo kuna mtu atapata vidonda vya tumbo!
aaaah! wapppyyyyyyyyyyy
mtu mwenyewe una mbwelambwela kama umekutana na manyigu mlangoni..............ndo useme hushindwi.
Hivi una gari la kutembelea weye?mie mdogo wangu yupo ila siwez kukupamwnaume una mbwela mbwela tu kama unaumwa malaria ama tumbo la kuharisha??