Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,694
- 650
Ndugu zangu mnafall in love na avater. Kuna wanaume humu wanatumia majina ya kike. Be careful.Sijui tutampenda wangapi?? Mi pia nampenda miss chagga
akaa aje kwa rubii!! abaki huko huko ikiwezekana mpigane mshindi ndo amchukueInno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii
ufafanuzi usiutake sasa hivi ukaharibu pendo la leoHahahahahaha. Unamaanisha we ni kabibi? Naomba ufafanuzi
SAWA MKUUameyapenda maneno yako ndo maana ameyarudia yakae mu kichwa
Sasa ww cmp mara utoe tahadhari na avatar halafu sasa hvi unampenda... mbona unatafta kiki kizamani?usinizibie jaman rizkiMiss chagga unaongoza kwa kupendwa asee hongera sana.mi mwenyewe nimetoka kuvutiwa nawe licha ya kwamba sikufahamu.we mtoto unaonekana mrembo kwelikweli ngoja tuendelee kuvizia vizia.
nenda nazo mimi nina nuymba mbili zaidi nilijenga kwa siri, hiyo utanunulia maziwa ya mtoto na za kujikimna ile hela ya ujenzi niondoke nayo? fundi akuja tena wala zile bati sijanunua bado
ANAPENDA MISS CHAGA TU YAANI AMEAMUA AFUNGUKEameyapenda maneno yako ndo maana ameyarudia yakae mu kichwa
Hahaha...ucjali mkuu.raha ya ushindi upate mshindani au unataka ushindi wa mezani?Sasa ww cmp mara utoe tahadhari na avatar halafu sasa hvi unampenda... mbona unatafta kiki kizamani?usinizibie jaman rizki
ntakutafuta privately unijuze.ufafanuzi usiutake sasa hivi ukaharibu pendo la leo
nimekuachia, ni mrembo sana kasoro ni flat screen halikuwa tatizo kwangu bali aliposema naye anakipenda nimemfuta moyoniYaani mimi hamu yangu nimjue tu... walah nitalala usingizi ambao sijawahi lala haijalishi hata awe mbaya kama wema..
haya ...ntakutafuta privately unijuze.
jamanMiss chagga unaongoza kwa kupendwa asee hongera sana.mi mwenyewe nimetoka kuvutiwa nawe licha ya kwamba sikufahamu.we mtoto unaonekana mrembo kwelikweli ngoja tuendelee kuvizia vizia.
mkuu ukiona uzi kama huu ujue watu wameamua kufurahi tu, japo watu huvutiwa na aina ya uandishi na vionjo vya maneno ya baadhi ya members humu, but mara nyingi uzi kama huu hakuna u serious wowote mkuuNdugu zangu mnafall in love na avater. Kuna wanaume humu wanatumia majina ya kike. Be careful.
sawa bhana lakin wew ndo umeniharibia mkuuJambilo unajua ukisema cha nini wenzio wanasemaje?