Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Inno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii
akaa aje kwa rubii!! abaki huko huko ikiwezekana mpigane mshindi ndo amchukue
 
Miss chagga unaongoza kwa kupendwa asee hongera sana.mi mwenyewe nimetoka kuvutiwa nawe licha ya kwamba sikufahamu.we mtoto unaonekana mrembo kwelikweli ngoja tuendelee kuvizia vizia.
Sasa ww cmp mara utoe tahadhari na avatar halafu sasa hvi unampenda... mbona unatafta kiki kizamani?usinizibie jaman rizki
 
Sasa ww cmp mara utoe tahadhari na avatar halafu sasa hvi unampenda... mbona unatafta kiki kizamani?usinizibie jaman rizki
Hahaha...ucjali mkuu.raha ya ushindi upate mshindani au unataka ushindi wa mezani?
 
nenda nazo mimi nina nuymba mbili zaidi nilijenga kwa siri, hiyo utanunulia maziwa ya mtoto na za kujikim
Jambilo unajua ukisema cha nini wenzio wanasemaje?
 
Hahaha...ucjali mkuu.raha ya ushindi upate mshindani au unataka ushindi wa mezani?
Sasa upinzani wa wazi namna hii hata kama mm ni miss chagga lazima nivunge nsimtext kumpa bomouwa namba yangu... mm sio tajira ila naupendo tu cmp...
 
Yaani mimi hamu yangu nimjue tu... walah nitalala usingizi ambao sijawahi lala haijalishi hata awe mbaya kama wema..
nimekuachia, ni mrembo sana kasoro ni flat screen halikuwa tatizo kwangu bali aliposema naye anakipenda nimemfuta moyoni
 
Miss chagga unaongoza kwa kupendwa asee hongera sana.mi mwenyewe nimetoka kuvutiwa nawe licha ya kwamba sikufahamu.we mtoto unaonekana mrembo kwelikweli ngoja tuendelee kuvizia vizia.
jaman
 
Miss Chagga
Natamani kuandika mawasiliano yangu humu ili unitext japo salamu tu ila.nashindwa maana rubii ataanza vibomu vya vocha,lakini naimani Roho mtakatifu atakua ndani yako na.moyo wa huruma utakuingia ili unikumbuke japo tuwe tunasalimiana mpka.kifo kitakapotutenganisha...
Ujue mpka nimeamua kufunguka mbele ya UMMA huu uliojaa wanafiki,wambea,wahafidhina,wenye vijiba vya roho,vizabizabina n.k lakini nimeamua POTELEA MBAALI LIWALO NA LIWE basi ujue mwenzako nimetingwa walah..
 
Ndugu zangu mnafall in love na avater. Kuna wanaume humu wanatumia majina ya kike. Be careful.
mkuu ukiona uzi kama huu ujue watu wameamua kufurahi tu, japo watu huvutiwa na aina ya uandishi na vionjo vya maneno ya baadhi ya members humu, but mara nyingi uzi kama huu hakuna u serious wowote mkuu
 
Back
Top Bottom