Jambilo I AM MORE THAN SERIOUS please and please do not speak onbehalf of my soul... tutauana ujue juu ya miss chagga.mkuu ukiona uzi kama huu ujue watu wameamua kufurahi tu, japo watu huvutiwa na aina ya uandishi na vionjo vya maneno ya baadhi ya members humu, but mara nyingi uzi kama huu hakuna u serious wowote mkuu
mkuu ungejua hasira niliyonayo usitamani tuonane.Jambilo I AM MORE THAN SERIOUS please and please do not speak onbehalf of my soul... tutauana ujue juu ya miss chagga.
youngblood acha matusi bhana, huyu miss mi wangu na tuna 3 kids naye, alaaaNilisikia kwamba ni dume
Mkuu utanisamehe bure, ila hizi habari nimezitoa humuhumu JFyoungblood acha matusi bhana, huyu miss mi wangu na tuna 3 kids naye, alaaa
sema mkuu..(jambilo..mean amani) so nimeamua kukuachiaJambilo jambilooo [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
nimekusamehe mkuu mimi ni mtu wa amani (jambilo..mean amani)Mkuu utanisamehe bure, ila hizi habari nimezitoa humuhumu JF
hana ujanja nimemwambia apaki kila kilicho chake na hata kisicho chake ajue aendako, nafiki breki ya kwanza ni kwako japo ataanza kwa kukulaum kuwa umemuharibia ila usijali umempataKuamua swala moja ila miss chagga kunikubali ndo mtihani mwingine[emoji86]
Hahaha,sawa mkuunimekusamehe mkuu mimi ni mtu wa amani (jambilo..mean amani)
1. elimuSasa ww siuanzishe uzi wako?yani binaadamu wengine nyie sijui mnashida gani... unaona ya miss chagga hata sijamaliza unakurupusha ya nifah... sasa nifah anapendeka kama miss chagga?[emoji7]