Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

mkuu ukiona uzi kama huu ujue watu wameamua kufurahi tu, japo watu huvutiwa na aina ya uandishi na vionjo vya maneno ya baadhi ya members humu, but mara nyingi uzi kama huu hakuna u serious wowote mkuu
Jambilo I AM MORE THAN SERIOUS please and please do not speak onbehalf of my soul... tutauana ujue juu ya miss chagga.
 
Mkuu naona hiyo ni zaidi ya burudani piga bicha ukiuwa unamkaribia kwa mbali tena kwa hiyo pafyumu yake Kali aisee ongera miss chagga
 
Jambilo I AM MORE THAN SERIOUS please and please do not speak onbehalf of my soul... tutauana ujue juu ya miss chagga.
mkuu ungejua hasira niliyonayo usitamani tuonane.
 
Mm ningependa kumuona Nifah image yake tu
Sasa ww siuanzishe uzi wako?yani binaadamu wengine nyie sijui mnashida gani... unaona ya miss chagga hata sijamaliza unakurupusha ya nifah... sasa nifah anapendeka kama miss chagga?[emoji7]
 
Nakushangaa ww unaependa wake za watu, cose mm nimesema nataka nione sura yake
 
Kuamua swala moja ila miss chagga kunikubali ndo mtihani mwingine[emoji86]
hana ujanja nimemwambia apaki kila kilicho chake na hata kisicho chake ajue aendako, nafiki breki ya kwanza ni kwako japo ataanza kwa kukulaum kuwa umemuharibia ila usijali umempata
 
Sasa ww siuanzishe uzi wako?yani binaadamu wengine nyie sijui mnashida gani... unaona ya miss chagga hata sijamaliza unakurupusha ya nifah... sasa nifah anapendeka kama miss chagga?[emoji7]
1. elimu
2. elimu
3. elimu
4. elimu
 
Back
Top Bottom