Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

ngoja mwenye mke aje..... utawam bwa km yesu msalabani.....
we humjui unampenda je mwenye mali alihaha kias gan. mPaka mtoto akaingia line af ww ulete mambo ya kupandia dau sahz
Mulhat hata wewe?
 
Uzuri kuna session ya pingamizi
mkuu achana na Miss chaga huyo atakufilis atakupeleka LA LIGA au kindoroko ama Peace Park akijifanya mashauz wakat yy anaishi mabogini karbu na mashamba ya TPC mkabala na matindigani
 
mkuu achana na Miss chaga huyo atakufilis atakupeleka LA LIGA au kindoroko ama Peace Park akijifanya mashauz wakat yy anaishi mabogini karbu na mashamba ya TPC mkabala na matindigani
Sahivi kuna BlackDiamond maana laliga ishakufa kaka... kuna Meku's na Hugos pia..
 
Sahivi kuna BlackDiamond maana laliga ishakufa kaka... kuna Meku's na Hugos pia..
ooooh cjafika huko kitambo kidogo ila nafikir huyo mchaga muepuke bora ubak na shemej mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…