Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu achana na Miss chaga huyo atakufilis atakupeleka LA LIGA au kindoroko ama Peace Park akijifanya mashauz wakat yy anaishi mabogini karbu na mashamba ya TPC mkabala na matindiganiUzuri kuna session ya pingamizi
Sahivi kuna BlackDiamond maana laliga ishakufa kaka... kuna Meku's na Hugos pia..mkuu achana na Miss chaga huyo atakufilis atakupeleka LA LIGA au kindoroko ama Peace Park akijifanya mashauz wakat yy anaishi mabogini karbu na mashamba ya TPC mkabala na matindigani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] natania tu shemMulhat hata wewe?
ooooh cjafika huko kitambo kidogo ila nafikir huyo mchaga muepuke bora ubak na shemej mkubwaSahivi kuna BlackDiamond maana laliga ishakufa kaka... kuna Meku's na Hugos pia..
pouwa mafanikio memaPNC 1 mimi hamu nimuone tu baaaasi...
kama nawaona asee kwettu moshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii loh mmenitamanisha sana asee 1 april moshi ntakutafuta shem wanguPNC 1 mimi hamu nimuone tu baaaasi...
Ukiniita shem unanifariji balaaa
Walah nipm namba yko nkutumieView attachment 328976
yes mimmi dadake piga picha mdogo wangu anakaa vepee
mahari utalipa mingi sana
utume nnWalah nipm namba yko nkutumie
hahaha mahari kwa tigo pesa we mchaga una hatareeWalah nipm namba yko nkutumie
hahahah haaaaaaaaaaaaaa mi masai mpareWapare kubania wachaga mmeanza lini?usinifnyie hvo
Umerudiiinaona wameamua kuniweka hadharani naona aibu