Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

Unatafuta kifo. Rudi kwa mkeo mlee Watoto. Siki mkiharibu ndoa zenu halafu mkaamuwa kuishi na mzinzi mwezako mtajikuta mnaanza uzinzi Tena na watu wengine.
 
Inabidi ufirw ili akili zirudi.
 
Kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu ni laana. Hakuna ushauri zaidi ya kukukataza kujiingiza kwenye mapenzi na wake za watu.

Ova
 
Siku akipata mwingine naye atamshauri aache mkewe naye akuache wewe aolewe tena, hapo ndo utajua hujui.
Hasara utayobaki nayo ni pale utakapofika uzeeni ndo utaanza kujichetua kama kina mzee wa mjegeje.
 
Acha ufala wewe
Unatema bigijii kwa karanga za kuoneshwa.
 
Naona una nyota ya kupakwa mafuta...
 
Hiyo Ni libido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…