Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

Pia inabibidi ujiulize kama Uyo mwanamke ameweza kumcheat mumewe akiwa kwenye ndoa Na Yuko tayari kumuacha mumewe Kisa mchepuko....unafkiri Ni mwanamke mwema? Unafkiri ukilmuoa atashindwa kukufanyia ivo
 
Shia hawawez kuudhalilisha uislamu kwa kuwatukana, kubeza na kudharau maswahaba. Pia hawawez kumtukana mke wa kipenzi chetu eti kahaba. Lazima pachimbike maamaee
Hii nje ya mada
 
Nasikia harufu ya mauwaji ya wanandoa, Mwambie tu huyo mwanamke akimwacha mumewe hatosababisha mauwaji!
Siyo kila mwanaume akiachwa na mke wake anapotezea wengine wanalipiza mkose wote akakae jela!
 
@ ya own risk mkuu. Usipodakwa ni poa, ila ukidakwa na mwenye mke awe mafia kama unapigwa bomba. Yani wanakula kinyeo huku wanachukua picha. 😁
 
kila utokapo paka mafuta kabisa kwa nyoro maana kisogo hicho kina hamu ya kupumliwa
 
Habarini humu wandugu,,

Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani.

Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya nyumba.

Lakini kwa miaka 2 sasa nina mahusiano ya siri na mwanamke mwingine ambaye pia ni mke wa mtu.

Sikukusudia hili kutokea, na ninapambana kuelewa hisia hizi. Najua ni makosa. Najua sipaswi kuwa na hisia hizi, hususan yeye ni mke wa mtu na mimi nikiwa na mke na watoto ambao wana mategemeo juu yangu. Lakini inaonekana siwezi kuzivunja hisia hizi. Nifanyeje?

Huyu mwanamke yupo tayari aachane na mumewe na mimi niachane na mke wangu ili tuishi wote.. Hali zetu za kimaisha za familia na kipato cha mumewe vinafanana kwahiyo mimi naona hakuna jambo la tamaa ya hela...

Mke wangu nilimuoa kutoka kwenye "rebound" ya mahusiano ambayo nilitegemea yangezaa ndoa... Siyo kwamba simpendi mke wangu maana kwa miaka 11 ya mwanzo nimeishi naye bila makando kando yoyote yale ya kuchepuka... ila KUSEMA kweli mahusiano yetu yapo sana kama mama na baba na si mume na mke,,, hata naye anasema anajua anaishi na mtu anayemjali ila si kumpenda,,,,,, simchukiii ila hisia zangu kwake hazipo

Ila baada ya kukutana na huyu mwanamke mwingine, zile hisia zilizokufa miaka 13 iliyopita ziliamka tena, nilijaribu kujizuia lakini wapi.. Kiukweli amenirudisha nyuma ambako nilishazika hizo hisia na kuamua sitojiangaisha na mapenzi ila familia YANGU pekee.. Na muda wote huu wa miaka 2 bado hatujashiriki tendo la ndoa zaidi ya maongezi na mambo MENGINE ya kawaida, maana nafsi inanisuta kufanya hilo jambo.

Kwahiyo nipo mkorogo wa hisia nahitaji fikiria kwa makini unachotaka kufanya
 
Unatuletea machokolaa mtaani wa 4. Kisa nyege zako BABA Yao.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kwahiyo nipo mkorogo wa hisia nahitaji kujitoa..
Maandiko marefu kumbe ujinga tu , Sasa kama hujafanya nae mapenzi una mahusiano Gani ya kimapenzi na mke wa mtu , jinga sana ww
 
Back
Top Bottom