Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampenda mpendaaa
Naanii
Kijana mmoja
Naani
Mzungu kidogo
Naani
Tajiri kidogoo
Bosi kidogo
Naani
Mweusi Kidogo
Naani
Mrefu kidogo
Naani
Mpole kidogo
Naani
Ana mwili mzuri
Naani
Magari mazuri
Naani
Mijumba mizuri
Naani
Na roho nzuri
Naani
Na moyo mzuri
Naani
Au si wa hapa si wa hapa dii dii dii
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Au kama hamtaki mniambie dii dii diii
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nikae chini nilie dii dii diiii
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wala Sitatafuta mwingine dii dii ndii
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ninani huyooo
(....................................................)
Nitajieni nimkimbizeeeeeee
Hahaha utoto raha sana
Nawewe Imba nyimbo yoyote ya utotoni
#Chitchatforevermore#
🙂🙂🙂😛😛😛 Safi sana sweet mahondaw ... Jana night you were so down... nimekubembeleza sana utulie, look at you now.. very happy with a good mood... safi sana.. i love seen you happy...
Ngoja tuimbe wote...
mahondaw panda mlimaaa...
siweziii bhanaaa...
kwa nini hauweziii...
Naumwaaa tumboo...
Tumbo kakupa naniii...
Kanipaa Smart911 ...
========
Vibata vidogo vidogo vinaogeleaaa... vinaogeleaa...
Katika shamba zuri la bustaniii...
Vinapenda kulia kwa'kwa'kwa'kwa'kwa'kwaaa
Vinapenda kutembea, bila vaituuu...
Mengine utamaliza... mahondaw
Hiyo ya mwanangu kua nikutume.. Huko mbele sijui ni kilugha...Waohhhhhhh thanks sana my lovely sweetdarlingto Smart911
Heeheheee miye teinaaaaaaaaaaaa kwa nyimbo za utotoni hapa ndo pake hapa ngoja nikujibu wimbo wa hiki kitumbo ulonibebesha
Naanza na
Byshoo I love you baby
Huu ushaimbwa sana Leo humu
Ngoja nimuimbie bebitumboni huu hapa
Mwanangu kua
Kua nikutume
Unitume wapi kwa mfalme
Kuna ng'ombe zetu kumi na mbili
Mmoja kaja...... ..............
Utoto raha sana
Leo nimetimiza rasmi miaka 22 tokea niachwe na dem wangu wa chekechea kisa kumchongea binti mwingine pencil
Duuuh
Ndio hako hako ka tom boyIyo avatar yako kama imefanana na mdada mmoja alimalizaga form six pale majengo sekondari mwaka 2012.
Morning mkuuDuuuh
Mi niko poa mkuu habr ya kufukuzia watoto wakaliMorning mkuu
Umeamka mkuu huyu mtoto na smart 911 amejimilikishaNdio hako hako ka tom boy
Safi mkuu.Mi niko poa mkuu habr ya kufukuzia watoto wakali
Mkuu naona wengi wananiita huko japo sipendi sana kuja huko ila nitajitahidiSafi mkuu.
Njoo kapuku forum kule chitchat
Kwanini hupapendi?Mkuu naona wengi wananiita huko japo sipendi sana kuja huko ila nitajitahidi
Aaaaa ngoma ya watoto haikesho'i.. Hao hata wiki hawatamaliza.. Demu chenga sana huyoUmeamka mkuu huyu mtoto na smart 911 amejimilikisha
Hata mi sielewi mkuu ila nitajitahidi nifike ila huwa nafika kupitia pitia baadhi ya mamboKwanini hupapendi?