PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji106]Mmh. Lait ungejua hawaivai kwa kupenda wala usingesema mumy. Ila hongera kwa kufunguka.
Subiri wavaa miwani waje.
Ndo kawaambia tayari hapa, ukienda inbox yake sasa, sasa yupo busy kujibu messages kama mfanyakazi wa TIGO...Ungewatafuta ukawaambia
Haaaahaaaa.Nilijua utakuja na gear!
Usifanye mchezo na kupenda. Mie nilipata mpenzi kwa kufunga three points kwenye basketball.Una kaupendo kakizamani miaka ya 90...unahisi miwani ndo usomi au pesa..hutofautian na anayependa mwanaume anaendesha gari hata kama sio lake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh hii Kali ya mwakaHabari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
Imebidi nicheke tu kwakweli.Una nyege na miwani.Hongera.
Lakini akifika kitandani anaivua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] HV mtoa mada hata huyo anamvutia??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sipati picha wavaa miwani wanavyohaha jukwaa la PM...
Wamejaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeWamejaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23]Usifanye mchezo na kupenda. Mie nilipata mpenzi kwa kufunga three points kwenye basketball.
mkuu goli tatu [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetumia tafsidahUsifanye mchezo na kupenda. Mie nilipata mpenzi kwa kufunga three points kwenye basketball.
usicheke...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app