Nampenda mwanaume anaevaa miwani

Nampenda mwanaume anaevaa miwani

Kwahiyo unamtamani hata Mkuu?,pia mvaaji akivaa kwenye kile kichwa down na chenyewe kinapendeza
 
Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
Duuh hii Kali ya mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru-Kenyatta-Kenyas-dep-010.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

n0 r0se with0ut th0rn
 
sijui na mimi nianze kuvaa miwani[emoji23] [emoji23]

n0 r0se with0ut th0rn
 
Back
Top Bottom