Nampenda mwanaume anaevaa miwani

usicheke...
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitakiwa kuwa muuguzi, una upendo sana kwa wagonjwa.

Vv
 
Baada ya wanaume kuonyeha hawana mkwanja, wanawake wameamua kubadilisha gear na kujifariji kwa mambo mengine.. Wanawake bhana, ni viumbe wa ajabu sana!
 
Duh sasa akifika kitandani na kuivua hiyo miwani huoni kama atapoteza huo mvuto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…