Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647

<br / unajua maana ya neno USTAARABU??sifa 1 kati ya nyingi za Mwanaume mstaarabu hawezi kuwa mpole saana km kondoo na hawezi kuwa mkorofi sn atakuwa katikati.ustaarab unapimwaje?
ustaarab wa wabunge ndio dhihaka/umakalio wa Masubiri.
ustaarab wa masubiri ni ufisadi kwa wabunge

<br / mtu mstarab ni mtu asiye na makuu, asiye mpole wl mkorofi, anayejiheshimu na kuheshimu watu wengne na kwa upande wangu mwanaume mpole wl mkorofi hanifai, MSTAARAB NDO ANAFAAustaarabu na upole kwani ni sawa?

<br / moja ya sifa za mwanaume mstaarab ni mwanaume asiye na tabia km zako.Hapa una maana gani? Naambiwa maana ya mstaarabu ni yule anayefanana na tabia za waarabu. Hebu tujuze kidogo basi.
Mimi ni Me, nimetafuta mlango wa kuingilia nimekosa! kumbe na wewe umeiona...i acknowledge a receipt of your submission, i hereby render my observations/ comments:-
1- kama sijakosea hii mada ni kwa wanawake tuu
2-Sie wanaume hatuna haki yoyote kimsingi kuchangia juu ya hayo uloyasikia kijiweni ukisubiria umeme urudi
3- wamiliki wa forum hii wanatakiwa kuanzisha vyumba maalumu vya kujadilia hoja za jinsia mbalimbali ili siku ingine isitokee mada kama hii inayohitaji kuchangiwa na jinsia "mke" ikatufanya watu wa jinsia "mme" kujiingiza humo
4- huwa unakaa vijiwe vya wanawake au huwa unapiga-chabo maongezi ya kina-mama na uloyatoa hapa ni ushahidi tosha kuwa nawe ni mwanamke
5- huelewi "unatakiwa kuwa aina gani ya mwanaume-proper mpaka upate mtazamo wa wanawake wanavyo-define a proper man" hii ki-saikolojia unaonekana kama unahitaji kumwona mshauri.
6- nashawishika kuamini kuwa "huna kifua" cha kuweka mambo unayosikia na kuyatafakari kwa kina mpaka uyalete hapa... sio kila hear-says zinatakiwa ku-go public
HAYA NILIYOYATOA HAPO JUU NI MAONI NA MTAZAMO WANGU BINAFSI JINSI NILIVYOIONA HII MADA...NOTHING PERSONAL OR INTENTIONAL OFFENSE TO MTOA MADA NA WENGINEO.

Akiwa mpole sana naye kuna madhara yake na pia akiwa mkorofi sana pia taabu, awe 50/50.
Kuna siku tuliliongelea hili sana...asilimia kubwa ya wadada walisema wanependa wanaume ambao sio wapole kupitiliza....
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/133266-upole-14.html#post1956682
wewe pumbafuuuu!...yaani umeniharibia siku kwa mitazamo yako hasi juu ya wengine...anyway iam a real man_trust me
Here Iam Angelmi napenda mwanaume mstaarab
JF inataka kugeuka kijiwe cha kahawa....
Sasa nizazidi kukubaliana nawe Miss Judith kwa maelezo haya ya ziada... hasa linapokuja suala la "kuchapa" kwa ajili ya kufunza na sio kukoamoa au kulipiza kisasi.mpendwa MAMAMIA,
hilo la kuchapa mtu makofi kwa ajili ya utukufu wa Mungu ni neno la kufikirisha, kumbuka Bwana Yesu alichapa watu mijeledi katika kurudisha heshima ya nyumba ya Baba yake, au zingatis kuwa hata Bwana wetu alipoinuliwa, alituvuta wote kwa Mungu kwa ajili ya utukufu wake. may be that is too extreme for this statement, lakini kwa kifupi, kila tulifanyalo kwa neno au kwa tendo, tufanye katika jina la Bwana Yesu tukimshukuru Mungu Baba kwa Yeye (Wakolosai 3:17)
ubarikiwe sana mpendwa
Mkorofi lakini ajue kuosha vyombo..
mmmmmmhhhhhh! MoD werayu???????Akiwa mpole sana wala mkali sio dili, muhimu akupe mambo,mboo tamu,pana na ya mvuto
Vivienne chunga sana mwanaume asiyekunywa pombe,aghalab huwa wana kilevi chao hao na siku ukijua ni kilevi gani utatamani bora angekunywa pombe!napenda mwanaume mpole asiyekunywa pombe
Boss,hata sisi wanaume ni yale yale tu,ndo mana tunaambiwa kuishi ni kujifunza na tunajifunza hadi siku tunaingia kaburini.bottom line.......all women dont know what they want untill they get it....lol