Nampenda mwanaume mkorofi kiana....ni kweli?

Nampenda mwanaume mkorofi kiana....ni kweli?

ustaarab unapimwaje?
ustaarab wa wabunge ndio dhihaka/umakalio wa Masubiri.
ustaarab wa masubiri ni ufisadi kwa wabunge

<br / unajua maana ya neno USTAARABU??sifa 1 kati ya nyingi za Mwanaume mstaarabu hawezi kuwa mpole saana km kondoo na hawezi kuwa mkorofi sn atakuwa katikati.

ustaarabu na upole kwani ni sawa?

<br / mtu mstarab ni mtu asiye na makuu, asiye mpole wl mkorofi, anayejiheshimu na kuheshimu watu wengne na kwa upande wangu mwanaume mpole wl mkorofi hanifai, MSTAARAB NDO ANAFAA

Hapa una maana gani? Naambiwa maana ya mstaarabu ni yule anayefanana na tabia za waarabu. Hebu tujuze kidogo basi.

<br / moja ya sifa za mwanaume mstaarab ni mwanaume asiye na tabia km zako.

mi na mpenda mwanaume mcha mungu,
asiwe mkali na asiwe mpole kupitiliza ,
ambae tutaongea na kusilizana

i acknowledge a receipt of your submission, i hereby render my observations/ comments:-
1- kama sijakosea hii mada ni kwa wanawake tuu
2-Sie wanaume hatuna haki yoyote kimsingi kuchangia juu ya hayo uloyasikia kijiweni ukisubiria umeme urudi
3- wamiliki wa forum hii wanatakiwa kuanzisha vyumba maalumu vya kujadilia hoja za jinsia mbalimbali ili siku ingine isitokee mada kama hii inayohitaji kuchangiwa na jinsia "mke" ikatufanya watu wa jinsia "mme" kujiingiza humo
4- huwa unakaa vijiwe vya wanawake au huwa unapiga-chabo maongezi ya kina-mama na uloyatoa hapa ni ushahidi tosha kuwa nawe ni mwanamke
5- huelewi "unatakiwa kuwa aina gani ya mwanaume-proper mpaka upate mtazamo wa wanawake wanavyo-define a proper man" hii ki-saikolojia unaonekana kama unahitaji kumwona mshauri.
6- nashawishika kuamini kuwa "huna kifua" cha kuweka mambo unayosikia na kuyatafakari kwa kina mpaka uyalete hapa... sio kila hear-says zinatakiwa ku-go public

HAYA NILIYOYATOA HAPO JUU NI MAONI NA MTAZAMO WANGU BINAFSI JINSI NILIVYOIONA HII MADA...NOTHING PERSONAL OR INTENTIONAL OFFENSE TO MTOA MADA NA WENGINEO.
Mimi ni Me, nimetafuta mlango wa kuingilia nimekosa! kumbe na wewe umeiona...

wewe pumbafuuuu!...yaani umeniharibia siku kwa mitazamo yako hasi juu ya wengine...anyway iam a real man_trust me

MKUU NISAMEHE..SIKUTARAJIA KAMA NITAKUUMIZA ..ANYWAY..ILA NIMETOA TU MAONI YANGU MAY B NI NEGATIVE AS U THINK ILA MIE NILIKUWA NAAMINI NI CONSTRUCTIVE...

wazo jingine jipya.." NYUKI WAKIAMIA NYUMBANI KWAKO USIWAHAMISHE WALA USIHAME...CHONGA MZINGA UVUNE ASALI ITAKUONGEZEA KIPATO KWA FAMILIA YAKO"

Ahgh! Kumbe kina dada ....sorry kwa kuingia choo cha kike..

mpendwa MAMAMIA,

hilo la kuchapa mtu makofi kwa ajili ya utukufu wa Mungu ni neno la kufikirisha, kumbuka Bwana Yesu alichapa watu mijeledi katika kurudisha heshima ya nyumba ya Baba yake, au zingatis kuwa hata Bwana wetu alipoinuliwa, alituvuta wote kwa Mungu kwa ajili ya utukufu wake. may be that is too extreme for this statement, lakini kwa kifupi, kila tulifanyalo kwa neno au kwa tendo, tufanye katika jina la Bwana Yesu tukimshukuru Mungu Baba kwa Yeye (Wakolosai 3:17)
ubarikiwe sana mpendwa
Sasa nizazidi kukubaliana nawe Miss Judith kwa maelezo haya ya ziada... hasa linapokuja suala la "kuchapa" kwa ajili ya kufunza na sio kukoamoa au kulipiza kisasi.
Be blessed Dada!

Woman want what they dont want,and they want you to give them what they want ,without telling you what they want!

napenda mwanaume mpole asiyekunywa pombe
Vivienne chunga sana mwanaume asiyekunywa pombe,aghalab huwa wana kilevi chao hao na siku ukijua ni kilevi gani utatamani bora angekunywa pombe!

bottom line.......all women dont know what they want untill they get it....lol
Boss,hata sisi wanaume ni yale yale tu,ndo mana tunaambiwa kuishi ni kujifunza na tunajifunza hadi siku tunaingia kaburini.

Back
Top Bottom