Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
<br /> <br / unajua maana ya neno USTAARABU??sifa 1 kati ya nyingi za Mwanaume mstaarabu hawezi kuwa mpole saana km kondoo na hawezi kuwa mkorofi sn atakuwa katikati.ustaarab unapimwaje?<br /> ustaarab wa wabunge ndio dhihaka/umakalio wa Masubiri.<br /> ustaarab wa masubiri ni ufisadi kwa wabunge