Nampenda Rais Samia Suluhu Hassan

Nampenda Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia, azidi kuwatafutia haki walionewa, azidi kulinda uhuru wa watu, na kuheshimu uongozi shirikishi. Ni kwa njia ya demokrasia, wananchi wanashiriki kuongoza nchi yao. Wote ni wanadamu, hata kama utakuwa na cheo gani. Uongozi na madaraka havibadilishi ubinadamu wako. Hili inaonekana Rais analiishi. Tunataka atembee kwenye sheria lakini asipungukiwe na hekima maana hata kusimamia sheria, kunahitaji hekima na busara.

Mambo positive aliyoyafanya Rais Samia, kama utayapinga ni kwa sababu tu umeamua upinge, lakini ni dhahiri.

Kwa mwanadamu yeyote, hata ufanye nini, kama hutatenda haki, hutaheshimu uhai wa watu, wewe hufai kwa chochote. Unajenga madaraja (ni jambo jema), unajenga reli (ni jambo hema), unajenga barabara (ni jambo jema) LAKINI unaua, unateka watu, unawapoteza. Sasa hiyo miundombinu unayojenga, kama unawamaliza watu wako, unataka itumiwe na nani, na mizimu? Barabara unazojenga badala ya kutumika na watu kwaajili ya shughuli zao za kawaida wanaozifanya kwa uhuru, zitageuka kuwa za kutoroka kuogopa dhuluma au kudhuriwa.

Ndugu zangu hakuna kiongozi atakayekuwa mzuri, hata akafanya ninj, kama haheshimu uhai na haki za binadamu wenzake. Ndiyo maana kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na ana Roho wa Mungu, hata kama anaishi kwenye kijumba cha matope, akiulizwa achague moja, aendelee kuishi kwenye kajumba hako lakini wanafamilia wake wabakie hai au ajengewe ghorofa lakini wanafamilia wake wasiishi, atachagua kuendelea kuishi kwenye kajumba kake ka tope.

Tunajua kuwa Rais wetu ni Mwenyekiti wa CCM, lakini utendaji wake wakati wote uliangalie Taifa na siyo CCM. CCM ni njia iliyomfikisha mahali alipo. Tunajua kuna watu watapenda aonekane kuwa ni Rais wa CCM, watataka CCM iwe juu ya Taifa, jambo ambalo siyo sahihi. Na hili anaonekana kulitambua sana, ndiyo maana ya maridhiano yanayofanywa.

Jambo la muhimu, viongozi wa vyama vya siasa, wamsaidie Rais katika adhima yake ya kuhakikisha anakuwa kiongozi wa Taifa, na siyo kiongozi wa CCM au adui wa vyama vingine vya siasa. Wasiwe kikwazo kwake bali wawe wawezeshaji.
Leo Siku ya dominika siku ya Bwana mnatema mateno matukufu tu.

Au mmeshukiwa na Roho mtakatifu?
 
Heri ya mwaka mpya wana JF

Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake.

Sababu zangu:

Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.

Kuna wale maviongozi waliopata uongozi kiudhalimu, kuiba kura, kutesa na kukandamiza wenzao alafu wanakuja bila haya kutuambia wao ni chaguo la Mungu.

Huyu mama, haikua hivyo, yaani ameupata uraisi kwa mapenzi ya Mungu ki ukweli

Wapo wale wapiga mapambio wa tawala zilizopita na zitakazokuja wajifunze kutoka kwenye maandiko: Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wanafanya kazi bure. Tazama: Zaburi ya 127

Pili, huyu mama ni mtenda haki, na kwa kitendo hicho atashibishwa.

Huyu mama katika kipindi kifupi cha utawala wake amefanya matendo makuu ya haki, amewagusa walioonewa, amewatoa magerezani wafungwa wa mchongo, amesambaratisha wadhalimu na magenge yao (Sukuma Gang), amerudisha matumaini yaliyopotea (mikutano ya hadhara) na sasa anajenga umoja wa kitaifa uliobomolewa kupitia Katiba Mpya.

Bwana wetu Yesu Kristu anasema heri wapatanishi, maana wao wataitwa wana wa Mungu, heri wenye njaa na kiu ya haki, maana wao watashibishwa. Tazama: Injili ya Mtakatifu Mathayo 5:6-10

Tatu, Mungu hujiinua kupitia udhaifu wetu, hivyo ukuu wa Mungu na upako wake unadhihirika

Tangu kale Mungu amefanya kazi na watu dhaifu au waliodharaulika, angalia background za manabii kama Musa na Daudi, pia na bwana wetu Yesu Kristu. Ni katika udhaifu, ukuu wa Mungu hujidhihirisha. Mungu ametaka tuwe na Rais mwanamke, katika mfumo dume wa leo, isigekua rahisi, kama si kwa mapenzi ya Mungu huyu mama kuupata urais.

Kama Mungu amempenda mama Samia Suluhu Hassani mimi ni nani wa kubisha?

Mungu anawapenda maraisi wote wa Tanzania, ila amewapenda zaidi J.K. Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli, tuendelee kuwaombea waendelee kupumzika kwa amani

Nawatakia Jumapili njema.
Hakika
 
Itakuwa ni heri ikiwa hivyo.

Tunayanena mazuri ya huyu Rais siyo kwa nja ya kumpamba bali kwa ushahidi aliouonesha. Hata kama una nia ya kutafuta mabaya yake, utapata shida sana kuyapata.

Wanaompinga utasikia wanaongelea shida ya umeme wa uhakika, maji, mfumko wa bei na mikopo mingi. Lakini anayejua na anayetaka kuwa mkweli kwa nafsi yake, hivi unadhani tungekuwa na Rais tofauti na yeye kusingekuwa na ukame au bei za bidhaa zisingepanda?

Tatizo la umeme limesababishwa na kutokuwepo mipango sahihi ya uwekezaji kwenye sekta hiyo kwa muda mrefu. Tuna maji mengi, tuna makaa, tuna gas, geotherm energy, upepo na jua lakini tumeshindwa kuvifanya vyanzo hivi kutupatia umeme wa uhakika. Lakini kuvifanya vyanzo hivi kuwa chanzo cha uhakika cha umeme ni uwekezaji wa muda mrefu unaotakiwa kuboreshwa wakati wote. Siyo rahisi Rais aliyeongoza kwa miaka chini ya miwili ayatekeleze hayo, japo ana uwezo wa kuendeleza au kuanzisha.

Bei za vitu, ni Dunia nzima. Imechangiwa na sababu nyingi kwa pamoja. Lakini inaweza kuwa fursa kama tukijipanga vizuri, hasa kwenye maeneo ya uzalishaji chakula.

Kwenye mikopo, tufahamu kuwa kutokana na kutoheshimu misingi ya demokrasia kwenye uchaguzi wa 2015 (uporaji wa ushindi Zanzibar), msaada wa kutoka MCC tukafutiwa, ilikuwa pesa nyingi sana iliyokuwa inasaidia miradi mbalimbali. Kutokana na uharibifu wa uchaguzi wa 2020, msaada toka jumuia ya madola ambao kigezo kikuu ni kuwa na kambi rasmi ya upinzani bungeni, tukafutiwa. Msaada wa kibajeti toka mataifa tajiri, kutokana na kukiuka misingi haki, uhuru na demokrasia imeounguzwa sana. Huku kuna madeni ya riba za kibiashara. Hivi hata ingekuwa ni wewe umekuwa Rais, utafanya nini kuyaziba mapengo yote hayo kwa mara moja?

Ukitafakari kwa upande mwingine, hivi ni kiongozi gani katika Taifa letu, aliwahi kuwashirikisha vyama vya upinzani, kwa kiwango cha Rais Samia? Kwenye hili inabidi kumtia moyo, Tanzania iliyo maskini, japo inahitaji ushindani katika siasa, uadui hauna msaada, utayaongeza matatizo yetu. Tungependa atende, tena kwa kiasi ambacho mataifa mengine siku moja yaje yajifunze namna ya kufanya siasa za ushindani zenye manufaa, Tanzania, na inawezekana alimradi kuwe na dhamira ya kweli.
 
Huu pia ni uchawa.

Kwa jinsi ulivyofafanua wewe sio Chawa 100%
 
Umenena vyema kabisa!
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mkuu ubarikiwe
 
Heri ya mwaka mpya wana JF

Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa

Nawatakia Jumapili njema.
Naunga mkono hoja!, kuna wengi wanampenda Samia baada ya kuukwaa urais wa JMT, karibu mitaa hii uangalie watu humu walianza lini
. Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
. Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Happy New Year
P
 
Mkuu sisi waTanzania, hatujafikia huko, kutambuana kwa maeneo tutokayo au makabila yetu, itoshe kukuambia mimi natokea Tanzania
Na hatutaki tufike huko hata siku moja !! Hatutaki kula nyama ya Mtu maana tukionja tutaendelea kuila siku zote !! By Mwalimu voice !!
 
Back
Top Bottom