mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Mia kwa mia 🙏🙏Hakika ubaguzi ni ushaidi wa ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mia kwa mia 🙏🙏Hakika ubaguzi ni ushaidi wa ujinga.
Mungu aendelee kumbarikiNaamini huyu mama lengo lake ni jema kwa taifa ili, mengi sana wameelezea wenzangu hapo nyuma, naamini endapo kuna mambo ambayo yanaweza kwenda sivyo lakini ni makosa ya utendaji ya kiubinadamu ya kawaida tu. Namkubali sana tena sana huyu Raisi wetu nia yake ni njema kwa taifa letu, ingawa wapo wanaomwalibia makusudi ili wamkwamishe.
Huku kwetu jamii kubwa ya wavuvi wamepigwa risasi na kupoteza uhai wale waliokuwa wakiingia ndani ya hifadhi ya Rubondo aidha kwa bahati mbaya au kwa kukusudia, lakini hapa juzi huyu Mama ametembelea gereza la Geita akakuta mrundikano mkubwa wa maabusu, aliwasimiliza na akagundua kuna wengine wenye kesi zisizo na mashiko , alitoa msamaha kwa kesi ndogo ndogo hususan wale wenye kesi za kuingia hifadhi pamoja na wa magwangala.
Chawa mkubwa, kunguni.Heri ya mwaka mpya wana JF
Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake.
Sababu zangu:
Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.
Kuna wale maviongozi waliopata uongozi kiudhalimu, kuiba kura, kutesa na kukandamiza wenzao alafu wanakuja bila haya kutuambia wao ni chaguo la Mungu.
Huyu mama, haikua hivyo, yaani ameupata uraisi kwa mapenzi ya Mungu ki ukweli
Wapo wale wapiga mapambio wa tawala zilizopita na zitakazokuja wajifunze kutoka kwenye maandiko: Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wanafanya kazi bure. Tazama: Zaburi ya 127
Pili, huyu mama ni mtenda haki, na kwa kitendo hicho atashibishwa.
Huyu mama katika kipindi kifupi cha utawala wake amefanya matendo makuu ya haki, amewagusa walioonewa, amewatoa magerezani wafungwa wa mchongo, amesambaratisha wadhalimu na magenge yao (Sukuma Gang), amerudisha matumaini yaliyopotea (mikutano ya hadhara) na sasa anajenga umoja wa kitaifa uliobomolewa kupitia Katiba Mpya.
Bwana wetu Yesu Kristu anasema heri wapatanishi, maana wao wataitwa wana wa Mungu, heri wenye njaa na kiu ya haki, maana wao watashibishwa. Tazama: Injili ya Mtakatifu Mathayo 5:6-10
Tatu, Mungu hujiinua kupitia udhaifu wetu, hivyo ukuu wa Mungu na upako wake unadhihirika
Tangu kale Mungu amefanya kazi na watu dhaifu au waliodharaulika, angalia background za manabii kama Musa na Daudi, pia na bwana wetu Yesu Kristu. Ni katika udhaifu, ukuu wa Mungu hujidhihirisha. Mungu ametaka tuwe na Rais mwanamke, katika mfumo dume wa leo, isigekua rahisi, kama si kwa mapenzi ya Mungu huyu mama kuupata urais.
Kama Mungu amempenda mama Samia Suluhu Hassani mimi ni nani wa kubisha?
Mungu anawapenda maraisi wote wa Tanzania, ila amewapenda zaidi J.K. Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli, tuendelee kuwaombea waendelee kupumzika kwa amani
Nawatakia Jumapili njema.
Punguza makasiriko, pambana na hoja na siyo mleta hojaChawa mkubwa, kunguni.
Ngoja waje tuwasikieHeri ya mwaka mpya wana JF

Tumetawaliwa na wazawa fwaida sikuiona bora mzamzbar uwenda tukaona fwaida kutoka kwakeMwamba mi nipo humu siku nyingi ,nadhani we ni mjukuu wangu,nimekuhuliza swali ,we Ni mnzazibari?
Hiyo ni thesis au hypothesis?Unaposems hakuitaka Urais una maana gani,MTU yoyote akisha kuwa Mbunge kisha Waziri na roho na nafsi yake lazima atamani position Na .1
Hivi Tanzania kuna rais ambaye hakuwahi kuwa chaguo la Mungu?Heri ya mwaka mpya wana JF
Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake.
Sababu zangu:
Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.
Kuna wale maviongozi waliopata uongozi kiudhalimu, kuiba kura, kutesa na kukandamiza wenzao alafu wanakuja bila haya kutuambia wao ni chaguo la Mungu.
Huyu mama, haikua hivyo, yaani ameupata uraisi kwa mapenzi ya Mungu ki ukweli
Wapo wale wapiga mapambio wa tawala zilizopita na zitakazokuja wajifunze kutoka kwenye maandiko: Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wanafanya kazi bure. Tazama: Zaburi ya 127
Pili, huyu mama ni mtenda haki, na kwa kitendo hicho atashibishwa.
Huyu mama katika kipindi kifupi cha utawala wake amefanya matendo makuu ya haki, amewagusa walioonewa, amewatoa magerezani wafungwa wa mchongo, amesambaratisha wadhalimu na magenge yao (Sukuma Gang), amerudisha matumaini yaliyopotea (mikutano ya hadhara) na sasa anajenga umoja wa kitaifa uliobomolewa kupitia Katiba Mpya.
Bwana wetu Yesu Kristu anasema heri wapatanishi, maana wao wataitwa wana wa Mungu, heri wenye njaa na kiu ya haki, maana wao watashibishwa. Tazama: Injili ya Mtakatifu Mathayo 5:6-10
Tatu, Mungu hujiinua kupitia udhaifu wetu, hivyo ukuu wa Mungu na upako wake unadhihirika
Tangu kale Mungu amefanya kazi na watu dhaifu au waliodharaulika, angalia background za manabii kama Musa na Daudi, pia na bwana wetu Yesu Kristu. Ni katika udhaifu, ukuu wa Mungu hujidhihirisha. Mungu ametaka tuwe na Rais mwanamke, katika mfumo dume wa leo, isigekua rahisi, kama si kwa mapenzi ya Mungu huyu mama kuupata urais.
Kama Mungu amempenda mama Samia Suluhu Hassani mimi ni nani wa kubisha?
Mungu anawapenda maraisi wote wa Tanzania, ila amewapenda zaidi J.K. Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli, tuendelee kuwaombea waendelee kupumzika kwa amani
Nawatakia Jumapili njema.
Swali hili limejibiwa, yule aliyekataliwa na wanadamu na MunguHivi Tanzania kuna rais ambaye hakuwahi kuwa chaguo la Mungu?
Hakika umenena vyema sana, hakika Samia ni zawadi kwetuHeri ya mwaka mpya wana JF
Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake.
Sababu zangu:
Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.
Kuna wale maviongozi waliopata uongozi kiudhalimu, kuiba kura, kutesa na kukandamiza wenzao alafu wanakuja bila haya kutuambia wao ni chaguo la Mungu.
Huyu mama, haikua hivyo, yaani ameupata uraisi kwa mapenzi ya Mungu ki ukweli
Wapo wale wapiga mapambio wa tawala zilizopita na zitakazokuja wajifunze kutoka kwenye maandiko: Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wanafanya kazi bure. Tazama: Zaburi ya 127
Pili, huyu mama ni mtenda haki, na kwa kitendo hicho atashibishwa.
Huyu mama katika kipindi kifupi cha utawala wake amefanya matendo makuu ya haki, amewagusa walioonewa, amewatoa magerezani wafungwa wa mchongo, amesambaratisha wadhalimu na magenge yao (Sukuma Gang), amerudisha matumaini yaliyopotea (mikutano ya hadhara) na sasa anajenga umoja wa kitaifa uliobomolewa kupitia Katiba Mpya.
Bwana wetu Yesu Kristu anasema heri wapatanishi, maana wao wataitwa wana wa Mungu, heri wenye njaa na kiu ya haki, maana wao watashibishwa. Tazama: Injili ya Mtakatifu Mathayo 5:6-10
Tatu, Mungu hujiinua kupitia udhaifu wetu, hivyo ukuu wa Mungu na upako wake unadhihirika
Tangu kale Mungu amefanya kazi na watu dhaifu au waliodharaulika, angalia background za manabii kama Musa na Daudi, pia na bwana wetu Yesu Kristu. Ni katika udhaifu, ukuu wa Mungu hujidhihirisha. Mungu ametaka tuwe na Rais mwanamke, katika mfumo dume wa leo, isigekua rahisi, kama si kwa mapenzi ya Mungu huyu mama kuupata urais.
Kama Mungu amempenda mama Samia Suluhu Hassani mimi ni nani wa kubisha?
Mungu anawapenda maraisi wote wa Tanzania, ila amewapenda zaidi J.K. Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli, tuendelee kuwaombea waendelee kupumzika kwa amani
Nawatakia Jumapili njema.
Jamani muwe mnasema yepi kayafanya, watangulizi wake hawakuwahi kuyafanya hadi akumbukwe na vizazi au mimi niko taifa jingine!!!!!!?Mimi naona kufikia 2028, kama atakuwa amefanikiwa kupita 2025 atakuwa ameshadhihirisha kwa nini yeye ni chaguo la Mungu. Huyu Raisi anakila aina ya sifa yaan kiutawala bora, huruma ila mkali ukimzingua, kihuduma za jamii ingawa tanesco ndio inazingua. All in all, atakumbukwa kwa vizazi na vizazi