Nampenda Rais Samia Suluhu Hassan

Leo Siku ya dominika siku ya Bwana mnatema mateno matukufu tu.

Au mmeshukiwa na Roho mtakatifu?
 
Hakika
 
Mi ninachompendea ni kwanza ni mwanamke mwenzangu kutawala nchi,Pili hata kama maridhiano ni njia silent ya kuua upinzani...but hanyanyasi direct wapinzani....yaan utu anao.Hajitangazii ubabe japo ana mamlaka yote ya kufanya ivo....Blessed mom
 
Leo Siku ya dominika siku ya Bwana mnatema mateno matukufu tu.

Au mmeshukiwa na Roho mtakatifu?
Itakuwa ni heri ikiwa hivyo.

Tunayanena mazuri ya huyu Rais siyo kwa nja ya kumpamba bali kwa ushahidi aliouonesha. Hata kama una nia ya kutafuta mabaya yake, utapata shida sana kuyapata.

Wanaompinga utasikia wanaongelea shida ya umeme wa uhakika, maji, mfumko wa bei na mikopo mingi. Lakini anayejua na anayetaka kuwa mkweli kwa nafsi yake, hivi unadhani tungekuwa na Rais tofauti na yeye kusingekuwa na ukame au bei za bidhaa zisingepanda?

Tatizo la umeme limesababishwa na kutokuwepo mipango sahihi ya uwekezaji kwenye sekta hiyo kwa muda mrefu. Tuna maji mengi, tuna makaa, tuna gas, geotherm energy, upepo na jua lakini tumeshindwa kuvifanya vyanzo hivi kutupatia umeme wa uhakika. Lakini kuvifanya vyanzo hivi kuwa chanzo cha uhakika cha umeme ni uwekezaji wa muda mrefu unaotakiwa kuboreshwa wakati wote. Siyo rahisi Rais aliyeongoza kwa miaka chini ya miwili ayatekeleze hayo, japo ana uwezo wa kuendeleza au kuanzisha.

Bei za vitu, ni Dunia nzima. Imechangiwa na sababu nyingi kwa pamoja. Lakini inaweza kuwa fursa kama tukijipanga vizuri, hasa kwenye maeneo ya uzalishaji chakula.

Kwenye mikopo, tufahamu kuwa kutokana na kutoheshimu misingi ya demokrasia kwenye uchaguzi wa 2015 (uporaji wa ushindi Zanzibar), msaada wa kutoka MCC tukafutiwa, ilikuwa pesa nyingi sana iliyokuwa inasaidia miradi mbalimbali. Kutokana na uharibifu wa uchaguzi wa 2020, msaada toka jumuia ya madola ambao kigezo kikuu ni kuwa na kambi rasmi ya upinzani bungeni, tukafutiwa. Msaada wa kibajeti toka mataifa tajiri, kutokana na kukiuka misingi haki, uhuru na demokrasia imeounguzwa sana. Huku kuna madeni ya riba za kibiashara. Hivi hata ingekuwa ni wewe umekuwa Rais, utafanya nini kuyaziba mapengo yote hayo kwa mara moja?

Ukitafakari kwa upande mwingine, hivi ni kiongozi gani katika Taifa letu, aliwahi kuwashirikisha vyama vya upinzani, kwa kiwango cha Rais Samia? Kwenye hili inabidi kumtia moyo, Tanzania iliyo maskini, japo inahitaji ushindani katika siasa, uadui hauna msaada, utayaongeza matatizo yetu. Tungependa atende, tena kwa kiasi ambacho mataifa mengine siku moja yaje yajifunze namna ya kufanya siasa za ushindani zenye manufaa, Tanzania, na inawezekana alimradi kuwe na dhamira ya kweli.
 
Huu pia ni uchawa.
Huu pia ni uchawa.
 
Naona Sukuma Gang wanaanza kuja kutukana mdogo mdogo

Hawa watu wana hasira, hawataki kuona Tanzania ina amani na wananchi wakifurahia kiongozi wao
Reshuffle still undergoes Allah karim, Nchi hii si ya kupewa makabila makubwa hata kidogo,mwl.Jkn. Kosa haliwezi kurudiwa tena. Inshaallah.
 
Kwa jinsi ulivyofafanua wewe sio Chawa 100%
 
Umenena vyema kabisa!
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mkuu ubarikiwe
 
Heri ya mwaka mpya wana JF

Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa

Nawatakia Jumapili njema.
Naunga mkono hoja!, kuna wengi wanampenda Samia baada ya kuukwaa urais wa JMT, karibu mitaa hii uangalie watu humu walianza lini
. Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
. Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Happy New Year
P
 
Mkuu sisi waTanzania, hatujafikia huko, kutambuana kwa maeneo tutokayo au makabila yetu, itoshe kukuambia mimi natokea Tanzania
Na hatutaki tufike huko hata siku moja !! Hatutaki kula nyama ya Mtu maana tukionja tutaendelea kuila siku zote !! By Mwalimu voice !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…