Nampenda Rais Samia Suluhu Hassan

Naamini huyu mama lengo lake ni jema kwa taifa ili, mengi sana wameelezea wenzangu hapo nyuma, naamini endapo kuna mambo ambayo yanaweza kwenda sivyo lakini ni makosa ya utendaji ya kiubinadamu ya kawaida tu. Namkubali sana tena sana huyu Raisi wetu nia yake ni njema kwa taifa letu, ingawa wapo wanaomwalibia makusudi ili wamkwamishe.

Huku kwetu jamii kubwa ya wavuvi wamepigwa risasi na kupoteza uhai wale waliokuwa wakiingia ndani ya hifadhi ya Rubondo aidha kwa bahati mbaya au kwa kukusudia, lakini hapa juzi huyu Mama ametembelea gereza la Geita akakuta mrundikano mkubwa wa maabusu, aliwasimiliza na akagundua kuna wengine wenye kesi zisizo na mashiko , alitoa msamaha kwa kesi ndogo ndogo hususan wale wenye kesi za kuingia hifadhi pamoja na wa magwangala.
 
Mungu aendelee kumbariki
 
Chawa mkubwa, kunguni.
 
Ngoja waje tuwasikie
 
Mwamba mi nipo humu siku nyingi ,nadhani we ni mjukuu wangu,nimekuhuliza swali ,we Ni mnzazibari?
Tumetawaliwa na wazawa fwaida sikuiona bora mzamzbar uwenda tukaona fwaida kutoka kwake
 
Unaposems hakuitaka Urais una maana gani,MTU yoyote akisha kuwa Mbunge kisha Waziri na roho na nafsi yake lazima atamani position Na .1
 
Hivi Tanzania kuna rais ambaye hakuwahi kuwa chaguo la Mungu?
 
Hakika umenena vyema sana, hakika Samia ni zawadi kwetu
 
Jamani muwe mnasema yepi kayafanya, watangulizi wake hawakuwahi kuyafanya hadi akumbukwe na vizazi au mimi niko taifa jingine!!!!!!?

Yaani sisi wenye viwanda vidogo vidogo tunalia na kusaga meno kwenye umeme kumbe wenzetu mnamkumbuka hadi vizazi vyenu vya nne!!!!!?

Maajabu hayajawahi kuisha hii dunia wengine wanalia kumbe wengine wanacheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…