Nampenda sana Mahondaw

ila mkuu punguza jazba.. mi naamini mtoa mada hakuwa serious kiasi hicho alikuwa kwenye jokes... naomba mmalize tofauti zenu.. ni changamoto tu kwenye maisha.. sufuria tu zinagongana itakuwa binadamu.. ombaneni msamaha..!!!!
Wengine wanapima upepo... Wananzisha thread ili kutafuta kiki... Kama hivi tayari mshamjua na yeye anajiona anajulikana JF...
 
Yataisha tuu shemeji mdogo....

Relax.....katika mahusiano kuna ups and downs.
You need to understand. Na namna ya Ku go through them.
Yashakwisha muda tu... Tupo poa sana... Vitu vidogo sana.. Ni member tu anatafuta attention....
 
Siamini kama Smart wako atakwazika na huu upuuzi ulioanzishwa na huyu mleta mada.

Kama amekwazika nambie niongee naye, ntampunguzia mahari then mambo yatanyooka.
Nilikwazika but nipo poa.. Tupo poa.. Maisha yanaendelea like nothing has happen..
 
Woow hatimae Alhamis unamvisha pete mohondaw... Itabidi nije kupiga makofi jamani lol
 
mbona mkali hivyo jamani? Simba ni mkali lakini ana watoto, tulia tuyajenge mama.
Acha kudandia treni kwa mbele... Unajichoresha tu hapa... Attention haitafutwi kwa kuingilia mapenzi ya watu... Usije ukasema sijakuonya...
 
Tatizo siyo kupendwa... Tatizo ni tabia mbaya za watu wanaojifanya wanajua sana kwenye mapenzi ya watu... Unajua kabisa mahondaw ni wa fulani alafu unajifablnya mjujaji kwenye mapenzi ya mtu...

Hakuna anayejua nje ya JF me and mahondaw nini kinaendelea...
 
We jamaa member wa humu wanawake wanajisikia kama forum imewatenga wakijilunganisha na Mahondow wetu
 
Sanaaaaa yani na washavuruga huku smart hanielewiiii


Unajua pale smart amepanga kunipeleka leo?? Ndobasi tena yani mpaka kuyaweka sawa sijui yani
Yes i cancel the date and the outing... And the reservation i made nimesamehe tu hiyo pesa... I wanted to take you to a Spanish restaurant to try everything new... But i canceled coz i was pissed of...

Cc: mahondaw
 
I love you more mahondaw wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…