Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

ila mkuu punguza jazba.. mi naamini mtoa mada hakuwa serious kiasi hicho alikuwa kwenye jokes... naomba mmalize tofauti zenu.. ni changamoto tu kwenye maisha.. sufuria tu zinagongana itakuwa binadamu.. ombaneni msamaha..!!!!
Wengine wanapima upepo... Wananzisha thread ili kutafuta kiki... Kama hivi tayari mshamjua na yeye anajiona anajulikana JF...
 
Yataisha tuu shemeji mdogo....

Relax.....katika mahusiano kuna ups and downs.
You need to understand. Na namna ya Ku go through them.
Yashakwisha muda tu... Tupo poa sana... Vitu vidogo sana.. Ni member tu anatafuta attention....
 
Siamini kama Smart wako atakwazika na huu upuuzi ulioanzishwa na huyu mleta mada.

Kama amekwazika nambie niongee naye, ntampunguzia mahari then mambo yatanyooka.
Nilikwazika but nipo poa.. Tupo poa.. Maisha yanaendelea like nothing has happen..
 
Kuna members wana akili za ajabu sana... Wanachotafuta ni sifa na attention. Kwa nini mnapenda kuharibu mahusiano ya watu... mahondaw yumo JF muda mrefu sana hakuna aliyemtamani... Leo hii yupo na Smart911 unakuja na thread yako ya kibwege na ya kitoto kama hii...

Smart911 na mahondaw kamwe hatutakuja kuachana... Na aliyekutuma mwambie huu ni mchezo wa kitoto sana... Who ever you are kama ni mwanamke au mwanaume utajijua na jinsia yako mwenyewe...

Kwa nini unataka kuharibu furaha yangu na mahondaw... Unajua mahondaw unajua alhamisi anatukio gani muhimu.. Alfu mpuzi kama wewe from no where unakuja kuleta ujinga...


Mimi sipendagi malumbano lakini kwa thread kama hii ya kichoko... Na kama mwanamke alikukataa kuna haja gani ya kuingia na ID tofauti na kumuharibia... Nilichukia sana... Na nusu nimuharibu mahondaw... Lakini nimesema kwa nini wakati nampenda sana...

Jinga moja ambalo linaleta thread ya kumuudhi mahondaw ili nalo lionekane linajua kubandika thread kumbe anabunguliwa tu... Leave mahondaw alone... She will never be wa mtu yoyote zaidi ya wa Smart911


Kama kweli unamjua mahondaw njoo alhamisi uone navyomvisha pete ya uchumba alafu ujitokeze na kusema huu utumbo uliyopost hapa...

Sidhani kama nina plan zozote za kumuacha mahondaw... mahondaw ni wa Smart911... Smart911 ni wa mahondaw...


@mahondow love.. Sorry kwa kusema surprise iliyopo alhamisi for you...
Huyu bwege sijui anatafuta bwana


mahondaw mpenzi wangu... Don't worry with anything kweli nimechukia sana... Lakini jua kwamba nakupenda sana... Hata zianzishwe thread 1000 the truth remains you are becoming my wife...

Huyu member atakuwa ametumwa... Ila ameshindwa...
Woow hatimae Alhamis unamvisha pete mohondaw... Itabidi nije kupiga makofi jamani lol
 
mbona mkali hivyo jamani? Simba ni mkali lakini ana watoto, tulia tuyajenge mama.
Acha kudandia treni kwa mbele... Unajichoresha tu hapa... Attention haitafutwi kwa kuingilia mapenzi ya watu... Usije ukasema sijakuonya...
 
Asante for Appreciation.
Ila sasa kwa ni smart anataka msichana mzuri kama wewe usipendwe na wanaume wengine?
Ndio anatakiwa afurahi kwanza kwa sababu wewe ni mzuri lazim watu wakutongoze lazima wakutamani.
Japo mm skitamani wala skutongozi mm nilikuwa naleta tu daily drama za JF sikujua kama nje ya JF mmependana.
Na najuta ningejua singeleta ile mizaha.
Huyo smart mueleweshe tu ataelewaz
Kama haelewi piga chini kuja huku
Tatizo siyo kupendwa... Tatizo ni tabia mbaya za watu wanaojifanya wanajua sana kwenye mapenzi ya watu... Unajua kabisa mahondaw ni wa fulani alafu unajifablnya mjujaji kwenye mapenzi ya mtu...

Hakuna anayejua nje ya JF me and mahondaw nini kinaendelea...
 
We jamaa member wa humu wanawake wanajisikia kama forum imewatenga wakijilunganisha na Mahondow wetu
 
Sanaaaaa yani na washavuruga huku smart hanielewiiii


Unajua pale smart amepanga kunipeleka leo?? Ndobasi tena yani mpaka kuyaweka sawa sijui yani
Yes i cancel the date and the outing... And the reservation i made nimesamehe tu hiyo pesa... I wanted to take you to a Spanish restaurant to try everything new... But i canceled coz i was pissed of...

Cc: mahondaw
 
Kwahiyo ndo kuamua kuniharibia tu ilimradi???
I love Smart911 much more sihitaji mwingine
Am satisfied Smart911 is giving me anything anything yani kuanzia gegedo classic and lots of materials with Smart911 am living luxurious life pesa ndo balaa sasa khakhaakhaa Smart911 Bosi mtoto teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lnitafute nini tena nyie bado sana
I love you more mahondaw wangu...
 
Back
Top Bottom