Nampenda sana Mahondaw

Watu hatufanani babu

Wapo ambao ni easy kupotezea na kuchukulia positive way

Wapo ambao ni sensitive kwa mambo hayo easy to panic...

Sio wote wenye mioyo migumu na sio wote wenye mioyo mepesi...

Ila ni vema watu tukajifunza kupotezea,hasa katika mahusiano yabidi kua muelewa vinginevo bp za mara kwamara hazitatuacha.
 
ni utoto na ushamba tu... mambo ya facebook yasiletwe humu bhana... kuna kila haja ya hawa wenzetu kutambua tofauti ya facebook na JF .... mahondaw na Smart911 hebu jaribuni kupevuka..!!!!
Mleta uzi ndiyo analeta mambo ya facebook JF... Na baadhi ya member wengi kibao tu humu... mahondaw had been in JF muda mrefu sana... No one care about her presence... She got Smart911 kila mtu anajifanya kumjua sana... Mara ana data zake... Mara hivi...

Kwa mimi binafsi naona kawaida sana... Ila kwa mahondaw inaamumiza sana... Ndiyo maana inabidi niongee...


Cc: mahondaw
 
Niseme tu umenikosha Eli...
 
Kwani hiyo pic aliyoweka ni wewe kweli tupia nyingine kama mbili tuone au mnatengeneza janja ya utapeli tuone kama wewe na mleta Uzi mna bifu kumbe ni janja ya biashara matangazo mana utapeli umekua mwingi sana mitandaoni
Wanasema yeye ni Fortune Mongi...
 
Hapo Blue: Ni kweli Mahondaw ni wa siku nyingi... Ila mleta mada kajiunga JF January mwaka huu. Miezi mitatu kwake ilimtosha kumsoma Mahondaw na kuvutiwa naye...Hii thread haijaletwa na mtu wa Siku nyingi JF, usisahau.

Hapo red hapo ndo unazidi kuchanganya madawa... Kwa mujibu wa bibie ni kwamba ulikasirika... na wewe pia umethibitisha ulikasirika mpaka ukacancel date.... inakuwaje hivi sasa unasema ulichukulia kawaida ilhali kukasirika kwako ndo kumemfanya bibie achanganyikiwe??
 
You have a point... Nikibisha nitakuwa jeuri na sipo hivyo... But nothing intense have been public kabisa... Hakuna picha za mitoko tumeweka, hakuna picha za vyakula tunavyokula, hakuna picha za nini tunafaya... What we are showing here ni kidogo sana sana... But tuna mengi sana ambayo kamwe hayawezi kupatikana popote pale...

Tatizo ni kwamba... She had been in JF muda mrefu tu... Nothing had happen to her... Am with her now, almost kila mtu anajifanya kumjua sana sasa na wengine wanajifanya kuwa na taarifa zake... They now nothing about mahondaw life... I know all...

Siyo rahisi watu kuja kujua exactly whats happening between me and her...
Najua kama anatongozwa sana... Uzuri mmoja about me nina roho ya kusema alafu siweki manbo rohoni...


Cc: mahondaw
 
Uko sahihi kabisa... ukijiona mwenye moyo mwepesi basi mnafanya maamuzi magumu kama walivyofanya wengine. Mnabadili IDs au mnasepa kabisa JF ili wanajamii wasivuruge penzi lenu.

Sie wengine tushazoea utani, tunajitongozea kila binti kimatani. Sasa kama mtu ana moyo mwepesi si anaweza kupasua screen bure kwa sababu tu matongozano na matani???
 
Wanasema yeye ni Fortune Mongi...
Sijakusoma mana wengine mambo ya majungu atufuatilii mana hapa nasikia wolpa sijui nn[emoji10] [emoji10] nifafanulie sijaelewa ulicho niandikia
 
Hamna Dogo ndo anaanza... Nadhan kapata mchaga ndo kachanganyikiwa Anajua ataibiwa Hhh
 
Sijakusoma mana wengine mambo ya majungu atufuatilii mana hapa nasikia wolpa sijui nn[emoji10] [emoji10] nifafanulie sijaelewa ulicho niandikia
Mkuu Kama Umesoma humu member mmoja kaandika anaitwa Fortune Mongi sijuw nae kaona Fb... Jf inaelekea kuangamia watu wa fb wanaanza kuharibu jf
 
Nilikasirika yes.. But as i said.. Siwekagi vitu rohoni kwa muda mrefu... Nina tabia ya kusamehe mapema tu.. Na kuchukulia vitu okay... Vishatokea hata nikasirike mwaka mzima it wont change a thing...

Hata sikuwa na najua about the thread kwanza... Ila pm nilizopata ni nyingi zikiniita kwenye hiyo thread... Hata kuna mahala nilikuwa na comment kuna member anaitwa lucky dube kama sijakosea akani quote na title ya hiyo thread...


Cc: mahondaw
 
Hii kiboko... Kumbe ulikuwa JF na ulikuwa unapata PM lakini notification za Mahondaw wakati anaku-mention ukawa huzioni?? Maana tangu mwanzo kabisa watu kibao walikuwa wnakutag uje umpooze bibie lakini hukutokezea...

Anyway, cha msingi ni kujifunza kutokana na makosa. Yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo.

Kila la Kheri.
 
Sasa babu mimi nawe tukiwa couple humu afu tubadili I'd Jf watutujuaje? Sie tusibadili I'd bana [emoji6]
 
Kuna mida notification JF zinachelewa sana au haziji kabisa mpaka uingie kwenye alerts au notification... Ndiyo unakuta kibao...

Yashapita hayo... Maisha lazima yaendelee...

Cc: mahondaw
 
Sasa babu mimi nawe tukiwa couple humu afu tubadili I'd Jf watutujuaje? Sie tusibadili I'd bana [emoji6]
Hahahahaha kumbe ishu ni "watu kujua"??

Sisi tusibadili kwa maana yetu yatakuwa mapenzi ya wazi... michepuko ruksa.

Tuanze lini sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…