Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Watu hatufanani babuKiukweli hata mimi mpaka sasa sijaamini nachokisoma hapa...
Mtu anakasirika kwa kuwa mpenzi wake kaanzishiwa thread... yani kakasirika kiasi cha kucancel date...
Binti kapagawa kiasi cha kuachia matusi ya kutosha...
Mara mkasirikaji anaibuka kivingine kabisa... yani kama ishu ilikuwa ndogo, kwa namna navyomsoma.
Na mleta mada anapotea mazima!!
Very interesting!!
Nimeshashuhudia couple nyingi sana hapa JF. Wengine wameshaoana na wana familia zao. Ila hii nimeivulia kofia.
Wapo ambao ni easy kupotezea na kuchukulia positive way
Wapo ambao ni sensitive kwa mambo hayo easy to panic...
Sio wote wenye mioyo migumu na sio wote wenye mioyo mepesi...
Ila ni vema watu tukajifunza kupotezea,hasa katika mahusiano yabidi kua muelewa vinginevo bp za mara kwamara hazitatuacha.