Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Jamani mimi nitakuwa Mpenzi mtazamaji tu ...Mambo ya huyo mimi siyawezi
 
Na usidhani eti nitakimbia Pole sikimbii wala nini kama mbwai naiwe mbwai baridaaaaa
Hivi kumbe ndiyo weye rafikiii..! Piga cha arusha zikuruke umfuate maana nyie nothern camp ubabe kwenu hauna jinsia.[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jamani kama kuna mwingliano wa kimapenzi na kama mlikataliwa msilazimishe mapenzi warembo wapo wengii nendeni Badoo wamejaa msimsumbue bint wa watu.
 
Back
Top Bottom