Nyabutoro
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 1,342
- 1,596
Hapa mwanaume yeyote lazima adate,uchaguzi mwema-mkitangaza ndoa nitakuchangia.Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
![]()