Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Asante kaka watu wa hivyo tunaishi nao tu mana hatuwezi kumtenga, atajihisi vibaya, huyu anaonekana mbeya wa mtaa wao kagombanisha majirani zake sana tuWapi nimemtaja huyo dada kwenye comment yangu, mimi naongea na author na pesa yake usinilishe maneno