Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #21
Asante kaka watu wa hivyo tunaishi nao tu mana hatuwezi kumtenga, atajihisi vibaya, huyu anaonekana mbeya wa mtaa wao kagombanisha majirani zake sana tuWapi nimemtaja huyo dada kwenye comment yangu, mimi naongea na author na pesa yake usinilishe maneno
Mashalovee nimjuae huyo haiwezi kaka hii ngoma ngumu, alafu sizani kama wanamazoeaTafuta namba za mashalove
Basi hujui hata umecomment nini na kwenye thread gani.Wapi nimemtaja huyo dada kwenye comment yangu, mimi naongea na author na pesa yake usinilishe maneno
Sijakupa majibu ni hujanielewa tu mkuu, nimechangia hoja sija kujibu kaka soma vizuri🤣Umeomba ushauri nimekupa, kama majibu unayo ushauri umeomba wa nini yakhee?
Naona anataka kuniwekea maneno mdomoni huyu jamaaAsante kaka watu wa hivyo tunaishi nao tu mana hatuwezi kumtenga, atajihisi vibaya, huyu anaonekana mbeya wa mtaa wao kagombanisha majirani zake sana tu
Imani za kizamani hizo siku hizi tuna fosi mpaka iweeeJifunze Kula kwa urefu wa kamba yako
Acha mambo ya ajabu unaweza ukafungua uzi na watu wakaanza kutongozana kwenye uzi sio lazima wote tuchangie kulingana na titleBasi hujui hata umecomment nini na kwenye thread gani.
Hebu tukumbushe context ya thread ni nini?
Hiyo PhD uliipatia hapa bongo? Au ni jina tu mkuu, samahan nimeuliza tuBasi hujui hata umecomment nini na kwenye thread gani.
Hebu tukumbushe context ya thread ni nini?
Ule mti tu ulikushinda kuuangalia huyo ndo utamuwezaImani za kizamani hizo siku hizi tuna fosi mpaka iweee
Achana nae alitaka atugombanishe namfahamu nisha mzoea itakuwa ana tatizo la kisaikolojia huenda anakutana na maisha magumu Kila nacho Fanya hakiendiNaona anataka kuniwekea maneno mdomoni huyu jamaa
Nisikilize nakuahidinkabla ya mwaka ujao kuisha nakula hii mali mkuu piga hapa🫴Ule mti tu ulikushinda kuuangalia huyo ndo utamuweza
Maalim Zingizi alias name Recardo Momo alikuwa na pesa hiyo ya kumuonga huyu bidada?Tafuta ela ya kumhonga G wagon, kumpeleka dubai kila mwezi utampata
Asante kaka watu wa hivyo tunaishi nao tu mana hatuwezi kumtenga, atajihisi vibaya, huyu anaonekana mbeya wa mtaa wao kagombanisha majirani zake sana tu
Mbona na ona ni urefu wa kamba yake tu, haya magoma ya hivi ukisubiri miaka mitatu tu unayala hata kwa ofa za local bia tuJifunze Kula kwa urefu wa kamba yako
Hawa wasukuma wa magu ndio wanaotuharibia hizi mali Huwa tunapiga kimyakimya shida washambaa wanajipeleka kiherehere sanaMaalim Zingizi alias name Recardo Momo alikuwa na pesa hiyo ya kumuonga huyu bidada?
Aliimiliki akaiweka ndani, aliipiga usiku na mchana atakavyo.
Mdogo wake Naseeb pesa yote aliyokuwa nayo alichomoa kumlipia pango la nyumba bidada Rita kule SA.
Nyie masikini mnataka kuonga pesa nyingi kuliko matajiri?!!🤔
Iih kwani kupata jina inachukua miak mingap mkuu we pambana jina mbona hata wiki moja tu unapataNikisha PATA jina si atakua kazeeka kaka au
Una.experience na hivi vituMbona na ona ni urefu wa kamba yake tu, haya magoma ya hivi ukisubiri miaka mitatu tu unayala hata kwa ofa za local bia tu
Kama unaona mashalove hawezi basi mtafute sister shida pale kwa Bibi nyau au ulizia bunyero inafanyikia wapi.Mashalovee nimjuae huyo haiwezi kaka hii ngoma ngumu, alafu sizani kama wanamazoea