NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

Kama unaona mashalove hawezi basi mtafute sister shida pale kwa Bibi nyau au ulizia bunyero inafanyikia wapi.

Huko utapata namba yake
Sio salama sana hiyo sahivi mchongo dm insta umo mana na yeye lazima aku zoom kwanza kwenye acc Yako ya insta ili ajiridhishe siunajia usalama mdogo na anafutwa Kila day nawana kibao
 
Naseeb madada wanampendea fame. Yani akishatoka naye, hata wakiachana tayari ana jina na kuna wajinga wenye pesa watamtaka. Ila wewe hohe yahe usio na jina ukitaka awa mademu wenye jina lazima ela ikutoke
 
Hahaaa usinichekeshe mkuu Kuna
Iih kwani kupata jina inachukua miak mingap mkuu we pambana jina mbona hata wiki moja tu unapata
jamaa yangu ni mwana hip-hop, aliniambia yupo kundi la weusi Huwa ana nyota kipara tangu aanze kuimba hahahaa 2012 mpaka leo eti nae anaishi kistar kujificha hata watu hawamjui hahahaa
 
Naseeb madada wanampendea fame. Yani akishatoka naye, hata wakiachana tayari ana jina na kuna wajinga wenye pesa watamtaka. Ila wewe hohe yahe usio na jina ukitaka awa mademu wenye jina lazima ela ikutoke
Nyinyi wasukuma wa vijijini ndio mnatuharibia hawa Huwa wanaliwa kisela
 
Hahaaa usinichekeshe mkuu Kuna

jamaa yangu ni mwana hip-hop, aliniambia yupo kundi la weusi Huwa ana nyota kipara tangu aanze kuimba hahahaa 2012 mpaka leo eti nae anaishi kistar kujificha hata watu hawamjui hahahaa
Mziki mgumu ndiyo ila kuna bahati pia we jiamini tu kila mtu na njia yake

Ukitoboa umvute malaika cute
 
Naseeb madada wanampendea fame. Yani akishatoka naye, hata wakiachana tayari ana jina na kuna wajinga wenye pesa watamtaka. Ila wewe hohe yahe usio na jina ukitaka awa mademu wenye jina lazima ela ikutoke
Recardo Momo alikuwa na umaarufu na pesa hiyo kuweza kummiliki huyo bidada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…