Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #81
Wa size yangu ni yupi mkuu mbona unaleta ubaguzi sis wote binadamuYou bera watch your back, hivi kwa akili yako demu kama yule ambaye yupo kwenye spotlight ya kila matajiri ukimwambia laki tatu atashtuka. Acha tamaa tafuta wa size yako
Sasa wewe unataka kuendesha HOWO na wakati size yako ni VITZ utapasuka vibayaWa size yangu ni yupi mkuu mbona unaleta ubaguzi sis wote binadamu
Kakuuliza kuendana tabia na kuwa wapenzi.Nampakia mkongo
Mi Imani fahamu? Umejuaje kama mimi ni vitz, mbona mna palamia watu mkuu?Sasa wewe unataka kuendesha HOWO na wakati size yako ni VITZ utapasuka vibaya
Hahahahaaa sasa huyo ni kijanaMtafute yule kijana mwenye ubini wa Baba wa taifa,simple tu,
Sijui hata nimeandika nini! Ngoja nikanywe maji kwanza.
Kakuuliza kuendana tabia na kuwa wapenzi.
Hajakuuliza kutia.
Tofautisha wakati anamuoa na wakati wanaachana. Ricardo kampa umaarufu. Kwani wadhani Nana Dolls ni mzuri kuliko mabinti wa uswaz? Ni kwamba ashakuwa maarufu ila kabla ya umaarufu watu walikuwa wanajipgia kwa mitindo huruRecardo Momo alikuwa na umaarufu na pesa hiyo kuweza kummiliki huyo bidada?
Na wewe utakuwa umezeekaNikisha PATA jina si atakua kazeeka kaka au
Au petit man, dude wote hao watamfikisha mpaka jikoni anakotaka. Sharti ajipange.Mtafute yule kijana mwenye ubini wa Baba wa taifa,simple tu,
Sijui hata nimeandika nini! Ngoja nikanywe maji kwanza.
Tamaa ya mwaka mzima mana ni muda sana nataka na sija mkinai?ikipita miezi kama mitatu utaanza kujishangaa ni jinsi gani ulikuwa unaendeshwa na hisia
Madalali hao mpaka uwape na wao chochoteAu petit man, dude wote hao watamfikisha mpaka jikoni anakotaka. Sharti ajipange.
Ndio mkuu huendaNa wewe utakuwa umezeeka
Kweli sasa hivi mambo yasha kua mengiTofautisha wakati anamuoa na wakati wanaachana. Ricardo kampa umaarufu. Kwani wadhani Nana Dolls ni mzuri kuliko mabinti wa uswaz? Ni kwamba ashakuwa maarufu ila kabla ya umaarufu watu walikuwa wanajipgia kwa mitindo huru
Hapo utampata kirahisi 😀Ndio mkuu huenda
Hapo juu picha sizipo au simu Yako kioo kibovu?Yuko wapi tumuone kwanza