Nampenda sana mke wa rafiki yangu

Kwa nini Usiwe Na wako tu???Tamaa mbele Mauti Nyuma.
 
..Sihitaji marafiki...Unakula nao happy Leo kesho wanamtaka mkeo...Fid Q [HASHTAG]#Sihitaji[/HASHTAG] marafiki track
 
Kabisa ila unajua tatizo nini hajataka kuona mbali ndio maana.

Ye kaona kwenye kujaza na kujaziwa pekee.
Raha ya dakika tatu iharibu urafiki uliodumu miongo mitatu. Aidha marinda yanatatuliwa hivi hivi anajiona kama huyu jamaa alivyovyotaka kufanya endelea
 
Your enemy is within your boundaries.

 

umempenda au umemtamani? Etii umempenda mke wa mtu kwa ujasiri kabisa khaaaaa vijana achen tamaa heshimuni ndoa za wenzenu umeshajaribu kuvaa hivyo viatu ingekuwa ni wewe rafiki yako amempenda mkeo?.
 
Reactions: BAK
Mwambie rafiki yako mbadilishane naye, mpe wa kwako na yeye akupe wa kwake.
Acha mawazo ya uzinzi bana unampenda rafiki yako? Ni rafiki yako kweli huyo?
ACHA HAYO MAWAZO.!!!!
Sijawahi kupenda mke wa rafiki wala ndugu yangu, sioni chochote kwao.
 
Raha ya dakika tatu iharibu urafiki uliodumu miongo mitatu. Aidha marinda yanatatuliwa hivi hivi anajiona kama huyu jamaa alivyovyotaka kufanya endelea
Umenifanya nicheke aisee
 
Sisis tukushauri nn kwa mfano?si mmeshaamua na amekwambia uandae mazingira,but kaa ukijua
"MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI"
 
JF Founders wana akili sana!
WALICHEZA KAMA PELE KUWEKA OPTION YA KUTUMIA MAJINA FEKI!
Nawaza hapa unamshauri mtu kumbe ni best yako!
na mke anayemzungumizia ni mkeo!
AF UMEKAZANA KUMSISITIZA MLEEE TUUU! SI KAJILETA!
AHAHHHAHAHHAHAHHAHAHHA
 
Bora hata sijaoa maana hapa ningekuwa nimeoa sijui hayo mawazo yangekuwaje, ngoja nivute mda kwanza.
 
Hajui kama kuna watu wamechomwa moto hivi karibuni Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…