Nampenda sana mke wa rafiki yangu

Nampenda sana mke wa rafiki yangu

Mimi huwa nasema sihitaji kuwasiliana na marafiki wa mume/mpenzi. Hata kama nilikuwa na namba yake kwa ajili ya mawasiliano flani, kazi ikiisha ndio basi. Hiyo namba itatumika kwa emergency ambayo mume hawezi kumueleza kwanza (incase mume ndio yupo kwenye tatizo, nawaza rip maybe).

Rafiki yangu ambae atakuwa na mazoea ya kusalimiana na mwenza wangu kwa simu nitamshangaa live. Sio Wivu, ni heshima na mipaka tu
Na hizi ndizo sababu huwa namwambia wife marafiki zangu sitaki awape mazoea yakupitiliza maana watu wengine bure kabisa...Wife atampa heshima kwa ajili ya urafiki wenu yeye anawaza kumtongoza....
 
"...sio kila wazo linalokujia akilini unapaswa kulitilia maanani, mawazo mengine ni ya kijinga tu ..."
Bibi Titi Mohamed
 
Najaribu kufikiria utimamu wa mleta mada!

Yani pale unapogundua rafiki yako anatoka na mkeo ni fedheha kiasi gani? Kwanza tu kwa sasa hivi unamchukuliaje rafiki yako?

Bado unamchukulia kama rafiki yako au unamuona "zoba" flani hivi?

Umeshafika mbali ndugu, na inaelekea kuna vitu vishamshawishi huyo shemeji yako hadi kuruhusu maongezi hayo. Either ni una msnitch rafiki yako kwa mkewe au wewe ni mtu wa kukaa jikoni sana na kuongea kwa chini chini minong'ono...umbea umbea..

Hapo hata ukirudi nyuma mke wa rafiki yako atashituka na atakugeuka fasta, utabaki mwenyewe na uzandiki wako. Pole sana.
 
Mkuu Mungu anakuona...................angalia usije ukapigwa fire.....
 
Angalia ukute mwanamke naye katengeneza mazingira na mme wake kusudi ufilwe msenge ww.. unaleta upumbavu jf?
 
we fanya tu,najua ukishakula tu shetan atakukimbia utabaki wewe kama wewe....hapo ndo utapata majibu!
 
Ntandaba ww aufai kuwa rafiki unataka kummega mke wa rafiki yako urafiki gani wa hivyo, Kwanza wewe una mke, na kama una mke? Usikie story mtaani kuwa mkeo anagegedwa na mtu baki tu umjui na wala umfahamu acha rafiki, utajisikiaje acha tamaa zisizo na mpango utakufa bure kijana au ujawai kufumaniwa wewe ndio maana, unaharuka, uliza arusha huko mtu kamfumania hawara yake tu sio mke alimpangia room maladhi chakula huduma zote jamaa alikuwa anamgaramia demu mpaka jamaa akampangia nyumba demu wake demu akawa anachepuka nje na jamaa mwingine na kumdharau jamaa yake yule wa awali aliempangia nyumba matokeo yake yule demu mapenzi yalivyowanogea, demu yule akawa anamchukua yule hawara wake mwingine wa nje anamleta nyumbani alikopangiwa na yule jamaa yake siku aliowakuta jamaa kawafunga kamba kwenye Godoro akawalipua na moto, sasa wewe kama zirael mtoa roho za watu anakwiita fanya huo mchezo wako lakini siku ukifumaniwa ndio utajua kama kachumbari ni mboga au kibwagizo, na ujuwe mapenzi hayana Siri...!!
 
Tumezoeana kiasi cha kunifanya sasa hivi niwe serious na mpango wa kumwomba thawabu aliyojaliwa. Wandugu naombeni ushauri wa kisaikolojia juu ya suala hili kwa kuwa na yeye yupo tayari kunipatia kwa sababu nilimjaribu kumwomba siku moja aliniambia niandae mazingira.
Ulaaniwe wew na yey, hakika siku hiyo mkijaribu lazima mfumaniwe, Mungu wetu si kiziw laxim adhihirishe dunia ishuhudie ,wanzinz wakubwa nyie, alaaniwe amtamaniye mke wa mwenzake
 
Duhhh kaz IPO halafu rafik yako unakuta anakuamini mpaka basi ..Leo unataka kumkaza mkewe wengine wanatamanigi hlf wanaenda Kumalizia kwingine ...inaishia machoni tu..
 
Tumezoeana kiasi cha kunifanya sasa hivi niwe serious na mpango wa kumwomba thawabu aliyojaliwa. Wandugu naombeni ushauri wa kisaikolojia juu ya suala hili kwa kuwa na yeye yupo tayari kunipatia kwa sababu nilimjaribu kumwomba siku moja aliniambia niandae mazingira.
Na akikukamata lazima umpe 0715 na hatakuonea huruma tembea na vilainishi tu.
 
Rafiki mnafiki,dawa take kaburi! By Adili km sikosei
 
Back
Top Bottom