King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Mimi huwa nasema sihitaji kuwasiliana na marafiki wa mume/mpenzi. Hata kama nilikuwa na namba yake kwa ajili ya mawasiliano flani, kazi ikiisha ndio basi. Hiyo namba itatumika kwa emergency ambayo mume hawezi kumueleza kwanza (incase mume ndio yupo kwenye tatizo, nawaza rip maybe).
Rafiki yangu ambae atakuwa na mazoea ya kusalimiana na mwenza wangu kwa simu nitamshangaa live. Sio Wivu, ni heshima na mipaka tu
Rafiki yangu ambae atakuwa na mazoea ya kusalimiana na mwenza wangu kwa simu nitamshangaa live. Sio Wivu, ni heshima na mipaka tu
Na hizi ndizo sababu huwa namwambia wife marafiki zangu sitaki awape mazoea yakupitiliza maana watu wengine bure kabisa...Wife atampa heshima kwa ajili ya urafiki wenu yeye anawaza kumtongoza....