Hamna shida omba tu hiyo thawabu kwa sababu umeshadhamiria akilini na moyon mwako pia, lakin nina imani rafiki yako akijua na kukukuta yeye hatakuomba ila ataitumia hiyo **** pori (tigo) yako ,kwa nguvu.
Hayo mawazo yako ni dhambi kubwa na usiyape nafasi kabisa, muhimu epuka ukaribu na shemeji yako, kuwa busy na mabo yako na utafute nawewe mtu wako.Na la msingi kabisa uwe na hofu ya Mungu hivyo jitahidi kuwa karibu na Mungu hata kwa ibada na maombi uishinde iyo roho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.