Hayo mawazo yako ni dhambi kubwa na usiyape nafasi kabisa, muhimu epuka ukaribu na shemeji yako, kuwa busy na mabo yako na utafute nawewe mtu wako.Na la msingi kabisa uwe na hofu ya Mungu hivyo jitahidi kuwa karibu na Mungu hata kwa ibada na maombi uishinde iyo roho.