Fazz
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 578
- 1,241
Salaam wakuu
Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa.
Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi.
Nilikutana na huyu binti kwenye mishe mishe zangu tuipiga stori za hapa na pale na tulielewana sana sikua na lengo kabisa la kugegeda tulibadilishana namba kwa lengo la kupeana michongo.
Sijui shwetani alitokea wap ghafla mahusiano yakaanza huku na huku tukajikuta tupo naked chumbani.
Wakuu nadiriki kusema the huyu mtoto anajua michezo sijawahi ona.
Kalivyo kwanza ni kadem fulan chembamba hivi kiuno kidogo kama nyigu afu nyuma kichiguu kilichokaa mkao.
Honestly anajua mapenzi, Ile siku napiga kimoyomoyo nikawa nasema huyu atanivunjia ndoa huyu leo ni one and for all.
Baada ya show akaniambia next time atanfanyia mapenzi na kipipi😮💨 naisubiri hiyo kisha nitamkataa shetani na kazi zake zoote niendelee kuwa mwaminifu kwa mke wangu.
Niishie hapo kwa sasa ntakuja na update ya kipipi na kuachana nae mazima