Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

🤣🤣🤣mwali wangu unaniangusha bwana,twanga ile tangawizi kalii,,nyingine tafuna mdomo uwe motoooo.chukua asali changanya upake sehemu zote husika,anzaa kula asali taratibu kwa madaha,hakikisha unamaliza yote sawa we mwali msungo😁?
😜 Sasa kitchen party tayari bado mume 😹

Sis nasikia kuna ya ugolo 🤣
Kuna jirani yangu mnyamwezi alinisimulia hiyo, eti aliweka kwa bibi akalewa!! 🤣😹😹😹
 
🤣🤣🤣mwali wangu unaniangusha bwana,twanga ile tangawizi kalii,,nyingine tafuna mdomo uwe motoooo.chukua asali changanya upake sehemu zote husika,anzaa kula asali taratibu kwa madaha,hakikisha unamaliza yote sawa we mwali msungo😁?
ni hizi hela tuu ama kuna kingine
 
Salaam wakuu

Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa.

Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi.

Nilikutana na huyu binti kwenye mishe mishe zangu tuipiga stori za hapa na pale na tulielewana sana sikua na lengo kabisa la kugegeda tulibadilishana namba kwa lengo la kupeana michongo.

Sijui shwetani alitokea wap ghafla mahusiano yakaanza huku na huku tukajikuta tupo naked chumbani.

Wakuu nadiriki kusema the huyu mtoto anajua michezo sijawahi ona.

Kalivyo kwanza ni kadem fulan chembamba hivi kiuno kidogo kama nyigu afu nyuma kichiguu kilichokaa mkao.

Honestly anajua mapenzi, Ile siku napiga kimoyomoyo nikawa nasema huyu atanivunjia ndoa huyu leo ni one and for all.

Baada ya show akaniambia next time atanfanyia mapenzi na kipipi😮‍💨 naisubiri hiyo kisha nitamkataa shetani na kazi zake zoote niendelee kuwa mwaminifu kwa mke wangu.

Niishie hapo kwa sasa ntakuja na update ya kipipi na kuachana nae mazima
Mwizi lazima uwe mbunifu hatari, manjonjo mengi hadi mtu unashindwa kusahaulika
 
🤣🤣🤣mwali wangu unaniangusha bwana,twanga ile tangawizi kalii,,nyingine tafuna mdomo uwe motoooo.chukua asali changanya upake sehemu zote husika,anzaa kula asali taratibu kwa madaha,hakikisha unamaliza yote sawa we mwali msungo😁?
Hahahahaha,dah
 
Salaam wakuu

Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa.

Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi.

Nilikutana na huyu binti kwenye mishe mishe zangu tuipiga stori za hapa na pale na tulielewana sana sikua na lengo kabisa la kugegeda tulibadilishana namba kwa lengo la kupeana michongo.

Sijui shwetani alitokea wap ghafla mahusiano yakaanza huku na huku tukajikuta tupo naked chumbani.

Wakuu nadiriki kusema the huyu mtoto anajua michezo sijawahi ona.

Kalivyo kwanza ni kadem fulan chembamba hivi kiuno kidogo kama nyigu afu nyuma kichiguu kilichokaa mkao.

Honestly anajua mapenzi, Ile siku napiga kimoyomoyo nikawa nasema huyu atanivunjia ndoa huyu leo ni one and for all.

Baada ya show akaniambia next time atanfanyia mapenzi na kipipi😮‍💨 naisubiri hiyo kisha nitamkataa shetani na kazi zake zoote niendelee kuwa mwaminifu kwa mke wangu.

Niishie hapo kwa sasa ntakuja na update ya kipipi na kuachana nae mazima
Bado kurogwa tu hapo mkeo uanze kumuona kituko
 
Back
Top Bottom