Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

😜 Sasa kitchen party tayari bado mume 😹

Sis nasikia kuna ya ugolo 🤣
Kuna jirani yangu mnyamwezi alinisimulia hiyo, eti aliweka kwa bibi akalewa!! 🤣😹😹😹
 
ni hizi hela tuu ama kuna kingine
 
Mwizi lazima uwe mbunifu hatari, manjonjo mengi hadi mtu unashindwa kusahaulika
 
Hahahahaha,dah
 
Bado kurogwa tu hapo mkeo uanze kumuona kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…